Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 538
- 584
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Waacheni mashemeji zangu wanunue silaha, wanaume wakapigane wanaume wabongo tuendelee kuoa dada zao..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Waacheni mashemeji zangu wanunue silaha, wanaume wakapigane wanaume wabongo tuendelee kuoa dada zao..
Maskini wa tanzania akilalamika vile yeye hujua kenya ...stupid ..Unataka mpaka Alshabab wachukue nchi ndo ujue Kenya ipo katika wakati mgumu kiusalama? Mimi mwenyewe nilikua napenda kwenda kula raha Mombasa nimeacha kwasasa naogopa kuuawa na Magaida yanayoua watu wasio na hatia kama watoto, wazee na wanawake wasio hatia kwa jina la Mungu
Yani alshababu wana sandals na ak47 tu ndio wanawaumiza kichwa???Unataka mpaka Alshabab wachukue nchi ndo ujue Kenya ipo katika wakati mgumu kiusalama? Mimi mwenyewe nilikua napenda kwenda kula raha Mombasa nimeacha kwasasa naogopa kuuawa na Magaida yanayoua watu wasio na hatia kama watoto, wazee na wanawake wasio hatia kwa jina la Mungu
statement hii inadhihisha jinsi hauna habari yoyote kuhusu vita vya al shabaabYani alshababu wana sandals na ak47 tu ndio wanawaumiza kichwa???
Silaha zilizopo hazitoshi??
Basi nimewavulia kofia al shababu ni vidume haswa..hii inaonyesha namna jeshi la Kenya lilivyokuwa weak
Nyie vita hamuwezi, tatueni shida za wananchi wenu kwanza, zikiwemo Afya, chakula , elimu na utawala.
umeongea point nzuri....mola atakubarikiKwa ajili ya usalama Afrika mashariki Kama si Kenya Al_shabab wangekuwa bado tishio kote Africa mashariki angalau Kenya ilipunguza hio hatari
Wakati zaidi ya wakazi milioni 2 wa nchi ya Kenya wakiwa hawana chakula na nchi hiyo imeomba msaada wa chakula kutoka nje, Serikali yake inatumia zaidi ya milioni 400 (USD) kununulia Silaha!
Kumbe fedha zipo, sasa kwa nini nchi ya Kenya ilikwenda kukopa kwa Wachina kujenga Reli? Kwa nini wasingetumia fedha zao kujengea Reli? Na isitoshe ni nani adui wa nchi ya Kenya mpaka itumie fedha zote kununulia Silaha?
Serikali ya Kenya yaomba msaada ya chakula kulisha watu wake!
Watoto wa Shule nchini Kenya, wakisubiri chakula!!
![]()
Wanalinda nini wakati al shabab wameweka kambi ndani ya Kenya na wanafanya recruitment na kuvinjari ndani ya Kenya?Silaha si kwa ajili ya kupigana. Ni kwa ajili ya kujilinda...
We were challenged, we took challenges, and we've been always champions.Isnt Tz even greatly dogged by those very challenges? Why lecturing Kenyans?