Kenya inatumia $400 million kununua Silaha, kupigana na nani?

Kenya inatumia $400 million kununua Silaha, kupigana na nani?

Nakuambia Hiyo pesa 70% inaingia mifukoni
yaani kuwa na akili nako kuzuri!!
Watu wanakufa na njaa
wewe unanunua silaha!!
 
Unataka mpaka Alshabab wachukue nchi ndo ujue Kenya ipo katika wakati mgumu kiusalama? Mimi mwenyewe nilikua napenda kwenda kula raha Mombasa nimeacha kwasasa naogopa kuuawa na Magaida yanayoua watu wasio na hatia kama watoto, wazee na wanawake wasio hatia kwa jina la Mungu
Maskini wa tanzania akilalamika vile yeye hujua kenya ...stupid ..
 
Unataka mpaka Alshabab wachukue nchi ndo ujue Kenya ipo katika wakati mgumu kiusalama? Mimi mwenyewe nilikua napenda kwenda kula raha Mombasa nimeacha kwasasa naogopa kuuawa na Magaida yanayoua watu wasio na hatia kama watoto, wazee na wanawake wasio hatia kwa jina la Mungu
Yani alshababu wana sandals na ak47 tu ndio wanawaumiza kichwa???

Silaha zilizopo hazitoshi??

Basi nimewavulia kofia al shababu ni vidume haswa..hii inaonyesha namna jeshi la Kenya lilivyokuwa weak
 
Yani alshababu wana sandals na ak47 tu ndio wanawaumiza kichwa???

Silaha zilizopo hazitoshi??

Basi nimewavulia kofia al shababu ni vidume haswa..hii inaonyesha namna jeshi la Kenya lilivyokuwa weak
statement hii inadhihisha jinsi hauna habari yoyote kuhusu vita vya al shabaab
 
Kwa ajili ya usalama Afrika mashariki Kama si Kenya Al_shabab wangekuwa bado tishio kote Africa mashariki angalau Kenya ilipunguza hio hatari
 
Wakati zaidi ya wakazi milioni 2 wa nchi ya Kenya wakiwa hawana chakula na nchi hiyo imeomba msaada wa chakula kutoka nje, Serikali yake inatumia zaidi ya milioni 400 (USD) kununulia Silaha!
Kumbe fedha zipo, sasa kwa nini nchi ya Kenya ilikwenda kukopa kwa Wachina kujenga Reli? Kwa nini wasingetumia fedha zao kujengea Reli? Na isitoshe ni nani adui wa nchi ya Kenya mpaka itumie fedha zote kununulia Silaha?

Serikali ya Kenya yaomba msaada ya chakula kulisha watu wake!

Watoto wa Shule nchini Kenya, wakisubiri chakula!!
New-UN-Decade-Aims-to-Eradicate-Hunger-Prevent-Malnutrition.jpg

Another shallow thinking from a southern, why does your brain always operate below capacity?
Hata jambo ambalo mtu mwenye akili nusu anaweza kung'amua mwenyewe, wewe wataka uelezewe?
Bajeti kazi yake ni nini?(jijazie!)
Kenya(hata Tz pia) imekuwa ikinunua silaha tangu mkoloni aondoke ili kupigana na nani?(Hapa pia nikusaidie kufikiria?)
Smh
 
Silaha si kwa ajili ya kupigana. Ni kwa ajili ya kujilinda...
Wanalinda nini wakati al shabab wameweka kambi ndani ya Kenya na wanafanya recruitment na kuvinjari ndani ya Kenya?
Hawa vita hawawezi, hata kujilinda pia hawawezi. Labda in future. Sioni sababu ya kutumia pesa mob kwa jeahi lisilo na molari wala mbinu za kivita
 
Usiwe na wasi wamenunua vintage planes kumwagilia galena project! Zitaanguka kabla ya kupaa!
 
Back
Top Bottom