Kenya inatuzidi wapi Tanzania? Baada ya Microsoft na Visa kufungua vituo vyao Nairobi, Google nayo yasema inafungua kituo chake nchini humo

Na sisi tuna Royal tour. 👌
 
sera za biashara zao ziko static..pinda pinda ili ulaji upatikane kule hamna..hakuna siasa kwenye biashara za watu.ikisemwa kodi kwenye product x ni 16 percent inabaki ivyo miaka na miaka...hakun panda shuka, hata gaharama za visa gharama za vat ziko chini kuliko tz..urasimu pia hakuna..
 
Hata walimu wazuri wa IT wapo Kenya wanakujaga kufundisha Tz
 
Tanzania tuna sheria za kikoloni sana hebu fikiria tu ugumu wa kupata passport kitu ambacho kwa majirani zetu ninachukua masaa chini ya 72
 
Tanganyika lilikuwa shamba la mkoloni aka Ranch na Kenya aka Nairobi ilikuwa ndio makazi yao na sehemu yao ya kuishi...kwahiyo huku wote sisi ni shamba boys tu...
 
Mkenya,Mtanzania, na Mganda walipewa zoezi la kuchagua matunda,unachagua tunda utakalo weza kulimeza ili usalimike usiuawe.
Mkenya alichagua chungwa
Mganda alichagua papai
Mtanzania alichagua tikiti maji yale ya punda milia!
Sasa jibu unalo wanatuzidi nini Wa KE.

Hata hawa CNN,AlJAZEERA,SKY NEWS wanaitambua Nairobi kuliko Dar es salaam kwenye utabiri wa hali ya hewa Miji mikubwa ya Afrika utaona Khartuom,Nairobi,Cairo, ALexandria n.k sisi ni ma Royal tour tu.
 
Vita ya Urusi na Ukraine ndiyo chanzo
 
Katiba borA, inaweka gurantee kuwa hata aingie kiongozi kichaa bado haitaathiri mazingira yao ya biashara..

Kenya ile katiba yao mpyA itawabeba sana kwenye kila nyanja.
 
Nisaidie kunielewesha Mkuu
It is all about how you invested in academic systems from the beginning, does't mean financially, but the educational delivery mode matters. Some countries, their education delivery is practical oriented, while other countries rely much on theory. This is the difference.
 
Kuna pub kali inafunguliwa tbt

Hivi zuchu mondi konde rayvny ep

Yao lini?

Ova
 
Mkuu kila kitu kinachohusu East Africa in terms of tech ni Kenya.
Kuna viproject nafanya na Google na Meta ila vyote vinahusiana na Kiswahili na Kiswahili ni Kenya.
Kama unatengeneza keywords kwa ajili ya pages mpya za Google inabidi hizo keywords ziwe specifically kwa Kenyan searches.
Kenya ni maaruf afrika kuliko nchi nyingi nadhani haikosi top 5. Na imekuwa ranked kama mojawapo ya hub bora Africa.
Sisi wazee wa domo domo tu.
 
Hatuna tofauti kubwa sana na wakenya,kuichagua Kenya kuweka vituo vyao vya biashara haileti hasara kwetu ukizingatia kuwa hayo ni mapenzi yao tu ya kuipenda Kenya,hatuwezi kulialia kwamba eti hatupendwi.
 
Kama tungetaka kuvutia kampuni za kimataifa. Labda tuujenge mji wa Arusha au Mwanza. Dar majoto mno na msongamano sioni ukiweza kuvutia multination coporations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…