Pamoja na worldbank kuzuiya pesa huku mambo kuchele. Ujenzi wa the New Salender Bridge umeanza rasimi. Magu hataki ujinga. It will be the longest cable bridge in East Africa and second cable bridge in Dar es salaam. ๐๐๐๐Expressway ya 8 lanes kutoka Mbezi hadi Kibaha imesha anza na tunajenga kwa pesa zetu wenyewe pia.๐๐๐๐ Vipi Likoni bridge ya Mombasa.? Uganda yao imekwisha.๐๐๐๐ Japo najua inawachoma lakini mvumilie.