Kenya inks Sh210 bn oil pipeline deal with Tullow

Hakuna mtu mwenye akili timamu atatoa pesa kwa ajili ya huu mradi, kama Lamu port hadi leo hakuna nchi wa Bank iliyokubali kutoa pesa, itawezekanaje huu upate pesa? 750 barrels are too little for investors to salivate
Jubilee inaahadaa wapiga kura! Maraga atawanyorosha hakuna uchaguzi...[emoji23] [emoji115]
 
Hamna nchi ambayo imejenga pipe line kwa oil ambayo iko less than 1.5bn barrels. Hiyo itakuwa another white elephant project in the making.
 
🙁🙁🙁🙁🙁🙁my explanations were hopeless....anyway, you can believe whatever makes you happy bro

Hehehe! Hawa jamaa utachoka kuwaelewesha chochote, mimi huwapita kimya bila kuwajibu maana wanaishi kwa kukaririshwa. Unakuta walishakaririshwa kwamba eti SGR tumejutia, pamoja na kwamba kuna kipindi tulitolea maelezo ya kitaalam lakini wao huzunguka tu pale.
 
Hamna deal la namna hii, kama mlivyodanganywa kuhusu production kuanza July mwaka huu na mkashangilia, pia hii pipeline ni uongo na siasa tu. Tullow hawana ubavu wakati uwezo wa kujenga pipeline wao wenyewe.
 
Wengi tunaoongea nao humu wana Upeo mdogo sana kwenye resource economics! BTW intelligence news inasema GoK inajaribu ku-convince South Sudan kuunga na naona lakini Uhuruto govt haiko in good terms na Kiir govt na pili Total oil wana-control all the southern most exploration blocks ikimaanisha lazma wambong'olee Total oil.
 
So between you and tullow engineers who is in a position to tell us if it's economically viable???so you're telling us tullow is pouring over $2b knowing there will be no returns??mazombies na ujuaji, tumewazoea ata topics za sgr na lamu port zilianza hivi
 
Tullow haina fedha hizo as a matter of fact bankrupt! That's where the problem starts no bank can give a loan guaranteed by a company in bankruptcy!
That announcement is a pure election lie!
 
Tullow haina fedha hizo as a matter of fact bankrupt! That's where the problem starts no bank can give a loan guaranteed by a company in bankruptcy!
That announcement is a pure election lie!
Si we ndo ulkua hapa unatuambia ati Kenya will join Uganda-tanzania pipeline [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tullow haina fedha hizo as a matter of fact bankrupt! That's where the problem starts no bank can give a loan guaranteed by a company in bankruptcy!
That announcement is a pure election lie!
Same na sgr na lamu port zilkua election lies remember [emoji3]
 
Mbona husomi kwa makini hii taarifa iliyoletwa na mwenzako? inasema makubaliano hayo kati ya Tullow na GoK yanatoa leeway kwa serikali ya Kenya kuanza kutafuta pesa, sio Tullow watatoa pesa, soma vizuri kabla ya kuchangia huu mjadala
 
Tullow haina fedha hizo as a matter of fact bankrupt! That's where the problem starts no bank can give a loan guaranteed by a company in bankruptcy!
That announcement is a pure election lie!
Wekea sisi picha za all your white elephants..... Hehehe.
 
Wait a minute....kwanini mnalazimisha hivyo?
 
Maelezo ya kitaalamu yapi yatakayoweza kuhalalisha gharama kubwa iliyotumika kujenya reli ya diesel, yenye kasi ndogo, yenye uwezo mdogo wa kubeba mizigo, na inayotumia teknolojia ya kizamani lakini bei yake iwe mara mbili zaidi?,
 
Mbona husomi kwa makini hii taarifa iliyoletwa na mwenzako? inasema makubaliano hayo kati ya Tullow na GoK yanatoa leeway kwa serikali ya Kenya kuanza kutafuta pesa, sio Tullow watatoa pesa, soma vizuri kabla ya kuchangia huu mjadala
Hili Fala lilikuwa na blog yake ilikuwa full of propaganda sijui imeishia wapi? Linaumwa ugonjwa wa jingoism!
 
Maelezo ya kitaalamu yapi yatakayoweza kuhalalisha gharama kubwa iliyotumika kujenya reli ya diesel, yenye kasi ndogo, yenye uwezo mdogo wa kubeba mizigo, na inayotumia teknolojia ya kizamani lakini bei yake iwe mara mbili zaidi?,
Khsbhy SGR hata kagame alifunguka alisema SERIKALI ya Uhuru imewatapeli wakenya kwa kuwaletea train ya miaka ya 50's kwa gharama kubwa sana ndio maana wao waka opt kuwa na Tanzania
 
Hili Fala lilikuwa na blog yake ilikuwa full of propaganda sijui imeishia wapi? Linaumwa ugonjwa wa jingoism!
Wakenya wengi sana wapo hivyo, wanamatatizo makubwa ya kushindwa kuchambua mambo kwa undani na kukubaliana na ukweli, hasa ukweli ambao wao hawaupendi, huku tunasema ule ukweli mchungu, matokeo yake wanajipa matumaini ya uongo ambayo yanawapeleka kubaya.

Ukisoma ilivyoandikwa hii article, huyo aliyeandika ameonyesha kama vile hizo 750M barrels zito zitapatikana 100%, na kwa bahati mbaya wakenya humu jamvini wanasoma na kuamini kama ilivyo bila hata kujiuliza, siamini kwamba wakenya humu hawana uelewa kiasi cha kushindwa kujua kwamba ni 30% pekee ndiyo inayopatikana, wanajua hilo ila ni ukweli mchungu wasiotaka kuusikia kwa hiyo wanauweka pembeni ili kutimiza lengo lao la kupata sifa za kijinga.
 
Nina uhakika hamna bank ita-finance huu mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…