joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Hahahaha, hamfikii hata 50% ya" volume of trade ya Tanzania in SADC". Unajua umuhimu wa "trade blocks"?, is to easy businesses and free movements of people. Mnakumbuka jinsi mlivyowapigia magoti South Africa ili waondoe visa kwa wakenya lakini wakakataa pamoja na kwamba wao wanaingia kwenu bila visa?.Nimekwambia, SADC anayeitambua ni Mtanzania tu Kama huyo Msauzi alivyosema. Yani nyinyi wabongo ujamaa haujawai mtoka. Biashara haifanywi hivo Kijana. Biashara inategemea una nini ninachohitaji nami nina nini unachohitaji. These trade blocks are just schemes for politicians to make money and create jobs for their kin. Kenya currently trades more with SA than Tz does, so what's the use of SADC? Amkeni majamaa.
Sasa hivi mnatapata, the only trade block you depend on is EAC, ndio mnakotegemea, sisi tunategemea zaidi SADC, hili linawauma sana. Balance of trade inaonyesha kwamba Tanzania tunauza zaidi SADC kuliko tunachonunua, kwa mwaka 2018 tulikua na $500M positive balance of trade with SADC, onyesha balance of trade ya Kenya kwa SADC tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app