Kenya insecurity: 14 wauawa, 9 mahututi

Hahahaha, hamfikii hata 50% ya" volume of trade ya Tanzania in SADC". Unajua umuhimu wa "trade blocks"?, is to easy businesses and free movements of people. Mnakumbuka jinsi mlivyowapigia magoti South Africa ili waondoe visa kwa wakenya lakini wakakataa pamoja na kwamba wao wanaingia kwenu bila visa?.

Sasa hivi mnatapata, the only trade block you depend on is EAC, ndio mnakotegemea, sisi tunategemea zaidi SADC, hili linawauma sana. Balance of trade inaonyesha kwamba Tanzania tunauza zaidi SADC kuliko tunachonunua, kwa mwaka 2018 tulikua na $500M positive balance of trade with SADC, onyesha balance of trade ya Kenya kwa SADC tuone.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata baada yenu kupewa visa free entry into South Africa haina umuhimu wowote kwa Mtanzania was kawaida infact as we speak there are more kenyans than Tanzanians in South Africa.
 
Hata baada yenu kupewa visa free entry into South Africa haina umuhimu wowote kwa Mtanzania was kawaida infact as we speak there are more kenyans than Tanzanians in South Africa.
Onyesha kwanza balance of trade ya Kenya kwa SADC ili tulinganishe na Tanzania, kisha tutalinganisha idadi ya wakenya na watanzania walioko SA. Kitu kimoja kinachojitokeza wazi ni kwamba, mnapenda na kutoka kufanya biashara na SADC mkiwa free kama ilivyo ktk EA, lakini hiyo nafasi hamna,sasa hivi mnalazimisha kuonyesha kwamba mpo sawa na TZ, hizo ni ndoto za mchana, usaliti wenu kwa waafrika ndio kunaanza kuwatafuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujamaa mentality. Kama nilivyokuambia, ni Wabongo tu wanaojikojolea juu ya SADC.
 
Lile Jeshi mahiri linalosifiwa EAST AFRICA na kuwa na vifaa vya kisasa pamoja na budget kubwa Afrika mashariki majeshi yake yalijificha msituni kuogopa Al shababjuzi kati 😀
 
Ujamaa mentality. Kama nilivyokuambia, ni Wabongo tu wanaojikojolea juu ya SADC.View attachment 1339628
Hahahaha, wewe ni chizi, Mimi nimekuambia volume ya biashara tunayofanya na SADC, wewe unazungumzia ujinga wa kujua au kutojua. Hiyo faida ya biashara na free movements ya watu kwako unahisi sio muhimu wakati ninyi hadi Leo mnalamba miguu ili mruhusiwe kuingia South Africa bila viza lakini mnakataluwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most South Africans don't even know SADC exists. Continue making fools of yourselves.
Hahahaha, you must be stupid, SADC has 16 countries, not South Africa alone. The importance of SADC is not about to be known by South Africans, is about doing business and moving freely, that is were we are capitalizing on that, we are doing very good business in SADC, we are enjoying positive trade balance so far. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimekwambia SADC is a bogus block. You would still be doing business with those countries with or without SADC just like Kenya does business with them yet not a member.
 


16 countries yet the economy of SA is bigger than the economy of the other 15 combined - just like the economy of Kenya is bigger than the economies of the other 4 EAC countries combined.
 
16 countries yet the economy of SA is bigger than the economy of the other 15 combined - just like the economy of Kenya is bigger than the economies of the other 4 EAC countries combined.
Hahahaha, what is important to us is the businesses regardless the size of economy. Be informed that, the volume of trade between SADC countries is over $50B yearly, Tanzania share is more than $2B with $500M positive balance, that is what we care the most.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't know what you are talking about ,we also have access to the same market share through COMESA.
 
Kuiweka Kenya among power za Africa ni kulidharirisha bara letu kwa kiwango cha juu sana...Kenya!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…