Kenya Internet users jump to 14 Million TZ still at 5 Million

Kenya Internet users jump to 14 Million TZ still at 5 Million

moja moja ndo saffari, tutafika tu
 
Ndio tunakwenda hivyo! Ningeshukuru kama hao mil 5 wangekuwa wapiga kura na wanapiga kura kwenye chaguzi zetu!
 
figure hiyo ya millioni 14 internet user Kenya labda kwa ajili ya kupelekea M-Pesa a.k.a TIGOPESA Tanzania na kwa kurushia voucher za credit kwa ajili ya kuongeza balance ya salio ya matumizi ya mobile phone na siyo kwa ajili ya wale watumiaji halisi yaani INTERNET SURFERS wanaoweza kutumia walau dakika 15 ku-surf internet mfano ku-access JamiiForums n.k na siyo kurusha salio/M-PESA.


Wa-Kenya kwa kujikuza ati 14 million internet user wakati hela ya sukuma-wiki hawana, migomo ya wafanyakazi na maandamano ya unga wa posho(sembe) hawana, haiwezekani wakaweza kuwa na idadi hiyo ya internet user. Watumiaji wakubwa wa mobile phones ni wakulima wadogo wadogo, wavuvi, wafanyabishara wa magenge na wafanyakazi wa kawaida ambao vipato vyao ni vidogo tu .

Hapa waseme tu wanapiga debe ili makampuni ya simu na internet providers wa-invest mitaji yao Kenya ili iwe ni internet-hub ya Afrika Mashariki kwa kutumia figures za uwongo za idadi ya internet user.
 
figure hiyo ya millioni 14 internet user Kenya labda kwa ajili ya kupelekea M-Pesa a.k.a TIGOPESA Tanzania na kwa kurushia voucher za credit kwa ajili ya kuongeza balance ya salio ya matumizi ya mobile phone na siyo kwa ajili ya wale watumiaji halisi yaani INTERNET SURFERS wanaoweza kutumia walau dakika 15 ku-surf internet na siyi kurusha salio/M-PESA.

Wa-Kenya kwa kujikuza ati 14 million internet user wakati hela ya sukuma-wiki hawana, migomo ya wafanyakazi na maandamano ya unga wa posho(sembe) hawana, haiwezekani wakaweza kuwa na idadi hiyo ya internet user.

Hapa waseme tu wanapiga debe ili makampuni ya simu na internet providers wa-invest mitaji yao Kenya ili iwe ni internet-hub ya Afrika Mashariki kwa kutumia figures za uwongo za idadi ya internet user.

Lazima utakuwa kada wa CCM! Ndiyo wenye mentality hizo za kununa, fihi, husuda,kijicho na kutilia shaka maendeleo ya wenzenu.
Tangu lini kuepeleka M-Pesa kwa simu kukahitajia internet connection.
Kwa taarifa yako mwana CCM, CCM inahesabu kuwa na internet ni starehe, luxury... ni wenye fedha nyingi tu ndiyo wanaoweza ku-afford. Naamini wewe huna internet nyumbani na hata hi JF una access kwenye internet cafe.
Kama Dar ni hivyo, sembuse huko kwenu Kondoa!
 
Back
Top Bottom