Nimejaribu kuangalia Bongo wameweka hao Jibu hata siwafahamu. Kuna startups nyingi sana Bongo hazipo kwenye hiyo ramani. So natamani kujua criteria. Data zao na uhalisia havifanani kwa hapa Bongo
Angalia hapo juu kwa hio picha , kwenye coner ya kushoto Imeandikwa "2019 Africa's
$1M+ Deals in Startups"
Kwahivyo its not about just any startup, hapo wanaongelea startups ambazo ziliweza kuchangisha zaidi ya $1M (yanii 2.3Billion pesa za kitanzania) in startup capital kutoka kwa wateja au wawekezaji mwaka wa 2019.
----------------------------------------
Competition ya startup capital hua iko kati ya nchi tatu hapa barani Africa, Nigeria, South Africa, Kenya.... Kila mwaka hua mshindi wa nchi iliochangisha hela nyingi ni kati ya hizo nchi tatu.. kwa mfano, mwaka wa 2017 mshindi alikua ni SA, mwaka wa 2018 mshindi akawa ni Kenya
-----------------------------------------------
Kenya took the lead in startups funding in Africa last year attracting Ksh 34.4 billion (US$ 348 million)(+136% YoY) in funding over 44 deals (+76% YoY), according to Partech Africa’s annual report on the financing of African Startups.
Nigeria has attracted US$ 306 million (+167% YoY) in funding over 26 deals (+53% YoY) and South Africa slowed down compared to Kenya and Nigeria, with US$ 250 million (+49% YoY) in funding over 37 deals.
The three countries received 78% of the total funding with Egypt close behind, an exact repeat of 2017.
In the rest of Africa, there were 19 countries with at least one equity tech deal above US$ 200K this year, compared to 13 countries in 2017. So, it is clear that the rest of the continent is actually growing as fast as the top 3 markets and now attracts decent attention. It’s important to note though that Egypt takes the lead here with 19 deals, nearly catching up with South Africa in activity. Regarding French-speaking Africa, Senegal confirms itself as the leading hub with US$ 22 million raised in 4 deals.
Kenya leads Africa with Sh34 billion in startups deals in 2018 - Business Today Kenya
--------------------------------------------------
Mwaka huu, interms of startup Capital raised, Nigeria ndo ilichukua usukani, lakini tarajia mwaka Ujao SA itakua imepitia cycle yake na itakua startups zinatafuta hela za kupanua biashara au kupanda kwa level nyengine kwahivyo tarajia hao ndo wataongoza kwa kuchangisha new funding kabla kenya irudi tena