Kenya is an African Leader in the Startup Scene!

Kenya is an African Leader in the Startup Scene!

Kafrican, it means that that Tz has only 1 startup meeting the criteria of USD1million.
Exactly!!!! This does not mean that the whole of TZ has only 1 startup, it just means only that one startup managed to raise more than $1M in 2019.

by the first half of 2018 Cellulant of Kenya alone had raised $47m, there are probably 20 more kenyan startups that do the same thing as cellulant but they never made that much money.
images
 
Angalia hapo juu kwa hio picha , kwenye coner ya kushoto Imeandikwa "2019 Africa's $1M+ Deals in Startups"

EJQhdZgXUAAJIO0





Kwahivyo its not about just any startup, hapo wanaongelea startups ambazo ziliweza kuchangisha zaidi ya $1M (yanii 2.3Billion pesa za kitanzania) in startup capital kutoka kwa wateja au wawekezaji mwaka wa 2019.




----------------------------------------
Competition ya startup capital hua iko kati ya nchi tatu hapa barani Africa, Nigeria, South Africa, Kenya.... Kila mwaka hua mshindi wa nchi iliochangisha hela nyingi ni kati ya hizo nchi tatu.. kwa mfano, mwaka wa 2017 mshindi alikua ni SA, mwaka wa 2018 mshindi akawa ni Kenya

-----------------------------------------------
Kenya took the lead in startups funding in Africa last year attracting Ksh 34.4 billion (US$ 348 million)(+136% YoY) in funding over 44 deals (+76% YoY), according to Partech Africa’s annual report on the financing of African Startups.
Nigeria has attracted US$ 306 million (+167% YoY) in funding over 26 deals (+53% YoY) and South Africa slowed down compared to Kenya and Nigeria, with US$ 250 million (+49% YoY) in funding over 37 deals.
The three countries received 78% of the total funding with Egypt close behind, an exact repeat of 2017.
In the rest of Africa, there were 19 countries with at least one equity tech deal above US$ 200K this year, compared to 13 countries in 2017. So, it is clear that the rest of the continent is actually growing as fast as the top 3 markets and now attracts decent attention. It’s important to note though that Egypt takes the lead here with 19 deals, nearly catching up with South Africa in activity. Regarding French-speaking Africa, Senegal confirms itself as the leading hub with US$ 22 million raised in 4 deals.

--------------------------------------------------


Mwaka huu, interms of startup Capital raised, Nigeria ndo ilichukua usukani, lakini tarajia mwaka Ujao SA itakua imepitia cycle yake na itakua startups zinatafuta hela za kupanua biashara au kupanda kwa level nyengine kwahivyo tarajia hao ndo wataongoza kwa kuchangisha new funding kabla kenya irudi tena
With this kind of reasoning, I agree. Startups nyingi Bongo ni self funding. So kufikia hii status itachukua muda mrefu sana.

Sijajua Kenya mnafanyaje kuwavuta hao wachangiaji. Bongo wenye hela hawako interested na Info Tech
 
With this kind of reasoning, I agree. Startups nyingi Bongo ni self funding. So kufikia hii status itachukua muda mrefu sana.

Sijajua Kenya mnafanyaje kuwavuta hao wachangiaji. Bongo wenye hela hawako interested na Info Tech
Sikuhizi maranyingi hua naona kunafanywa competitions za nani ako na idea kali zaidi kwa jambo flani. kwa mfano kampuni ya kusambaza dawa inatoa hela alafu kunakua na mashindano flani kwa group za programmers mwenye atatengeneza best solution kwa kutatua shida flani katika usambazaji wa dawa, alafu mshindi atakaekuja na idea poa na awezee kudemonstrate uwezo wa kutengeneza digital solution anashinda hela flani. Akitoka hapo hio kampuni inamwandika atengneze complete solution. baada ya hapo unakuta sasa labda wametengeneza web interface ambayo pia inaweza kupatikana kwa mobile app, Hio kampuni ya dawa itakua ilishatoa hela na haitaki kuhusika tena na ku maintain hio app, wanataka hao rogrammers ndo wagaramikie ku maintain server na database na pia kushughulika kutafuta kampuni zengine za dawa zitumie hio app.... Hapo inabidi sasa hao programmers watafute wawekezaji watakao nunua asilimia flani ili hao programmers wapate capital ya kupanua kampuni, kuongeza server, kufungua ofisi kwa miji mingine, kuandika wafanyikazi zaidi.........

Sasa hapo ndo kuna siri, Siri ya kupata wawekezaji ni uwe tayari hio startup yako imeshaanza kufanya kazi na unaweza kutaja wateja wako mashuhuri na uonyeshe kwamba unatatua shida flani ambayo iko na pia kwa upande wa biashara tayari unaingiza ka pesa flani, jambo unalotaka kutoka kwa wawekezaji ni hela ya kupanua biashara. Lakini kama unapanga kuonda kwa wawekezaji ukiwa na program yako umeiandika mwenyewe lakini hauna wateja au hujawai ingiza hela, wawekezaji watakua na wakati mgumu sana kuamini kwamba wakikupatia hela hio kampuni italeta faida yoyote.
 
Back
Top Bottom