Kenya is broke, finally

Madini gani ni mazito sana mpaka yashindwe safirishwa na barabara?
 
South Africa wana GDP ya $400bn ila hawawezi kujiwashia umeme wa uhakika.

GDP kubwa sio sababu ya kuweza kila kitu.
 
Niambie wapi serikali iliwahi fanya biashara ikafanikiwa.
 
Economical giant? Unashida kulipa wafanyakazi mnajiita economical giant. Hata Burundi pamoja na kupigwa vikwazo haikuwahishindwa kulipa mishahara.
Mnaweza kujikakamua kulipa kwa miezi miwili lakini kuendelea zaidi ya hapo haitawezekana.
Sana sana tegemeeni kukubaliana na masharti ya ushoga ili mpate pesa za masharti nafuu.
 
Sasa kama wameiba si wawafungulie mashtaka
 
muongo hayo magari waliyogawana viongozi wakuu,yaliyoghatimu mabilioni,fedha walitoa wapi kama nchi imefilisika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…