Kenya is broke, finally

Kenya is broke, finally

Mkuu, Kuna huu ushoroba wa kati unaufuatilia vizuri?. SGR itaongeza ufanisi wa bandari ya Dar na Tanga by 100%.

Mkuu, hivi huoni jinsi Burundi, DRC na Uganda wanavyohangaika kuhusu hii reli?. Tukiachilia mbali mizigo mengine ya ndani, bandari ya Dar pekee ikitumiwa na hizi nchi tatu by 80% na Uganda na South Sudan by 50% ya mizigo yao ya hivi Sasa tu, tunauwezo wa kupata mapato ya nchi nzima by 50%.

Lengo la hizi nchi kukimbilia Sana hii SGR ni kutaka kuanza kichimba madini yao mazito ambayo kwa Sasa hawawezi kuyachimba kwasababu hawawezi kuyasafirisha nje ya nchi. Kwahiyo usiangalie miaka 5 ijayo, huu ni mradi utakaodumu miaka 100 ijayo. Huu mradi "stimulating effect on the economy" ni mkubwa Sana mkuu, hasa kwa DRC, Burundi na Uganda.
Madini gani ni mazito sana mpaka yashindwe safirishwa na barabara?
 
Alafu data za uchumi wa Kenya ni za kupika ( fabricated) na ukweli umedhihirika....siku zote njia ya mwongo ni fupi. Huwezi sema eti una GDP ya 106B USD alafu ushindwe kuwa na food security na normal salary to employees. Acheni swaga zenu nyinyi ni masikini ila mnajificha kwenye kuongea English [emoji23][emoji23]
South Africa wana GDP ya $400bn ila hawawezi kujiwashia umeme wa uhakika.

GDP kubwa sio sababu ya kuweza kila kitu.
 
Naona tatizo mahali yaani ujenge reli kwa matrilioni halafu umuite mwekezaji kwa ajili ya kuisimamia tu ale hela...kwamba tumeshindwa kweli kuisimamia miradi yetu ikaleta faida? Kama ni hivyo hao wawekezaji nao ingepaswa wahusishwe kwenye ujenzi watie mzigo na sio kuja tushapigwa tozo mpk basi wao waanze kuuza tiketi.
Hivi ni kweli hatukuwa na utaalamu wa kuisimamia miradi yetu au watu waliinywa na kulindana kwingi?
Niambie wapi serikali iliwahi fanya biashara ikafanikiwa.
 
Sio kwamba serikali imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyikazi wa umma Bali Ni imecheleweshwa tu,bt everything shall be sorted out within a short period of time.

And don't forget that Kenya will continue to be the economical giant of EA despy all these financial constraints in the country.
Economical giant? Unashida kulipa wafanyakazi mnajiita economical giant. Hata Burundi pamoja na kupigwa vikwazo haikuwahishindwa kulipa mishahara.
Mnaweza kujikakamua kulipa kwa miezi miwili lakini kuendelea zaidi ya hapo haitawezekana.
Sana sana tegemeeni kukubaliana na masharti ya ushoga ili mpate pesa za masharti nafuu.
 
It was just a speculation but yesterday finally the DP Rigathi Gashagua aka Right G declared bankruptcy to his government.

The so called EA giant has officially declared unable to pay salaries to an indefinite period of time and asking well wishers to intervene the situation.

Right G blamed the handshake government which stole everything in the stoke causing problems and shame to the current administration.

Recently top Kenyan officials visited the neighbors Tanzania for foreign currency to help cover some of the outstanding debts.

Droughts, political and social unrest, are some of the many other things causing the shame to cover the Nation of Kenya.

Kenya on her Kneels
muongo hayo magari waliyogawana viongozi wakuu,yaliyoghatimu mabilioni,fedha walitoa wapi kama nchi imefilisika?
 
Back
Top Bottom