Kenya is broke, finally

Kenya is broke, finally

Sio kwamba serikali imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyikazi wa umma Bali Ni imecheleweshwa tu,bt everything shall be sorted out within a short period of time.

And don't forget that Kenya will continue to be the economical giant of EA despy all these financial constraints in the country.
 
Karibu bongo mkuu, nchi ya maziwa na asali
 
Kitu nisichoelewa, hawakusanyi kodi??
Mapato yanakusanywa ila wanatumia zaidi ya 60% kulipa madeni ya nje na ndani. Kiuchumi ni bora ukose kulipa mishahara kuliko madeni kama bonds yafikie maturity alafu uingie mitini. Hapo unakuwa defaulted na unafeli vibaya mno na sarafu yako inashuka thamani haraka sana. Pia ni bora usilipe mishahara kuliko nchi ikose huduma za kijamii na kukosa kuagiza bidhaa muhimu. Nchi zetu za kimaskini hizi unakuta waajiriwa wa serikali ni kama 15% ya wananchi, na sio wote hawajalipwa. Sijui idadi ila utakuta wasiolipwa hawafiki 10% ya raia, sasa huwezi kufanya ukichaa kuacha hospitali hazina dawa eti ulipe mishahara yote. Hapo unatafuta priorities kama hela haitoshi.

Kenya tangu wapate uhuru hawakuwahi kosa kulipa mshahara, na watalipa mishahara hii kwa makusanyo ya kodi yanayofuata. Ila wanatakiwa wapunguze matumizi, Kenya ina matumizi makubwa sana ya serikali. Na wapambane na ufisadi.

Tatizo lingine ni miradi isiyozalisha na mikopo mikubwa mikubwa inayofuatana. Haya mambo ya kukopa kwa pamoja ujenge SGR, barabara, ndege na vitu visivyozalisha direct itatufikisha uko. Mfano trilioni za SGR tutazilipa kwa hela hii hii tunayomkamua muuza mkaa. Wakati nchi zenye akili zinakopa zijenge viwanda zizalishe bidhaa faida ndio ilipe mkopo na riba yake. Au basi tukope hela tuanzishe miradi mikubwa ya kilimo. Kwani trilioni ngapi zinahitajika kufunga mifumo ya umwagiliaji watu wakalima mwaka mzima, tena hii inagusa almost kila Mtanzania na faida yake inaanza kurudi mwaka uleule mfumo umeanza.

Tunatumia trilioni 14 kujenga SGR ambayo inabeba watu zaidi kuliko mizigo. Hii sio India au China ya watu zaidi ya bilioni moja. Tumenunua ndege kwa hela nyingi ambavyo Air Tanzania haitokaa ipate faida. Baada ya hapo tubangaize na makusanyo ya PAYE na VAT kulipa mikopo.
 
Shukrani sana kwa ufafanuzi makini
 
Sio kwamba serikali imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyikazi wa umma Bali Ni imecheleweshwa tu,bt everything shall be sorted out within a short period of time.

And don't forget that Kenya will continue to be the economical giant of EA despy all these financial constraints in the country.

We will not forget giant of EA
 
Madeni na mikopo yamekuwa siyo himilivu kwani makusanyo ya kodi yapo level ile ile enzi za utawala wa Uhuru Kenyatta tofauti ni kuwa madeni yamewiva na lazima yalipwe hivyo serikali ya Mh. William Ruto hawana jinsi bali kuyapa malipo ya madeni / mikopo kipaumbele na kukuta hela ya kulipa mishahara haipo ktk hazina .

Tanzania nasi tujifunze kuhusu kukopa sana na kudai kuwa madeni na mikopo ni Himilivu tujiulize wenzetu wamekwama wapi.

Wakubwa walisema ukiona mwenzio ananyolewa nywele kwa lazima inabidi nasi tutie kichwa maji maana tunaweza kuangukia ktk hali Kenya inayopitia kuzidiwa na dhamana ya kulipa mikopo, madeni na riba iliyoiva
 
Sidhani kama unaelewa ulichosema au nawe mradi umechangia tu. RIG D amelaamika kuwa Serikali ya Kenyatta imechukua pesa yote, na sio kwamba madeni yamemature, kuna mwaka nchi a afrika hawakuwa wanalipa madeni?
Ni matumizi tu, usimamizi mbovu wa makusanyo ya mapato hakuna lingine.

Serikali iliyopita ilikuwa na huyi huyo Ruto as DP na kwa katiba ya Kenya DP anashauriana na Rais mambo mengi na Rais hajiamlii kienyeji hivyo, Ruto anajua wazi na ndio maana sio Mropokaji kama huyo kichaa RIG D.
 
yule jamaa anayedili na Russia yuko wapi?

Anapenda mambo ya umbea eti Russia hii vita akifikisha mwaka anafilisika. Wao vurugu zimetokea wiki tu hawana pesa ..
Mkuu russia kaingia vipi hapa tena?????Vipi nasikia KGB washeikamata Kiev??????Au bado wanachechemea????
 
it was just a speculation but yesterday finally the DP Rigathi Gashagua aka Right G ...declared bankruptcy to his government.

The so called EA giant has officially declared unable to pay salaries to an indefinite period of time and asking well wishers to intervene the situation.

Right G blamed the handshake government which stole everything in the stoke causing problems and shame to the current administration.

Recently top Kenyan officials visited the neighbors Tanzania for foreign currency to help cover some of the outstanding debts.

Droughts, political and social unrest, are some of the many other things causing the shame to cover the Nation of Kenya.

Kenya on her Kneels
Kenya has been running a fake economy for far too long. Its outcome is only starting to catch up with them now.

Evonomic realignment must take place sooner rather than later.
 
Mapato yanakusanywa ila wanatumia zaidi ya 60% kulipa madeni ya nje na ndani. Kiuchumi ni bora ukose kulipa mishahara kuliko madeni kama bonds yafikie maturity alafu uingie mitini. Hapo unakuwa defaulted na unafeli vibaya mno na sarafu yako inashuka thamani haraka sana. Pia ni bora usilipe mishahara kuliko nchi ikose huduma za kijamii na kukosa kuagiza bidhaa muhimu. Nchi zetu za kimaskini hizi unakuta waajiriwa wa serikali ni kama 15% ya wananchi, na sio wote hawajalipwa. Sijui idadi ila utakuta wasiolipwa hawafiki 10% ya raia, sasa huwezi kufanya ukichaa kuacha hospitali hazina dawa eti ulipe mishahara yote. Hapo unatafuta priorities kama hela haitoshi.

Kenya tangu wapate uhuru hawakuwahi kosa kulipa mshahara, na watalipa mishahara hii kwa makusanyo ya kodi yanayofuata. Ila wanatakiwa wapunguze matumizi, Kenya ina matumizi makubwa sana ya serikali. Na wapambane na ufisadi.

Tatizo lingine ni miradi isiyozalisha na mikopo mikubwa mikubwa inayofuatana. Haya mambo ya kukopa kwa pamoja ujenge SGR, barabara, ndege na vitu visivyozalisha direct itatufikisha uko. Mfano trilioni za SGR tutazilipa kwa hela hii hii tunayomkamua muuza mkaa. Wakati nchi zenye akili zinakopa zijenge viwanda zizalishe bidhaa faida ndio ilipe mkopo na riba yake. Au basi tukope hela tuanzishe miradi mikubwa ya kilimo. Kwani trilioni ngapi zinahitajika kufunga mifumo ya umwagiliaji watu wakalima mwaka mzima, tena hii inagusa almost kila Mtanzania na faida yake inaanza kurudi mwaka uleule mfumo umeanza.

Tunatumia trilioni 14 kujenga SGR ambayo inabeba watu zaidi kuliko mizigo. Hii sio India au China ya watu zaidi ya bilioni moja. Tumenunua ndege kwa hela nyingi ambavyo Air Tanzania haitokaa ipate faida. Baada ya hapo tubangaize na makusanyo ya PAYE na VAT kulipa mikopo.
Points
 
Back
Top Bottom