Kenya is in total power blackout

Kenya is in total power blackout

Bongo yenyewe Miezi miwili nyuma kama sikosei Tuli experience hio blackout, Grid iliporomoka Watu wote walio connected na grid ya taifa walipata hio blackout kuna mtu alitumbuliwa ili last for 7 hours wakaanza kurestore mdogo mdogo
Hio EAPP ( East Africa Power Pool) inayotaka kuwa established bila smart grid hio interconnection ikifanyika unaweza kuta mzigo ukashuka EA nzima tukawa kwenye blackout. Kuna line inatoka isenya Kenya via Namanga inaenda Singida 400kV
Tanzania haitegemei gridline moja!
 
Ur dreaming. Tanzania has never experienced power cut since uncle magu came into power...and a mega project (2100MW) under construction, Stigler's gouge.
When Kenya gets a blackout, it's trending news the same way it'd trend if a gazelle killed and ate a lion. To our southern brothers however, it's a normal occurrence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee matengenezo wanafanya na helicopter ,TANESCO ha ha habari ndio hiyo.
TANESCO bado sanaa, wao labda watumie twiga.
Kenya%20Power.jpg

Hii ilikuwa Tower 26, Kiambu dakika 45 baada ya umeme kupotea Kenya na Uganda, lisaa limoja baadaye umeme ulikuwa umesharejea Nairobi na gatuzi la Machakos.
 
Geza natumai umeona jinsi middle income inaunda umeme kwa kutumia helicopter. Jambo ambalo nyie hamuwezi kufanya.
Which helicopter? andika kwa kiingereza ueleweke!
 
TANESCO bado sanaa, wao labda watumie twiga.
Kenya%20Power.jpg
Hii ilikuwa Tower 26, Kiambu dakika 45 baada ya umeme kupotea Kenya na Uganda, lisaa limoja baadaye umeme ulikuwa umesharejea Nairobi na gatuzi la Machakos.
what's so special over this? Ur roads r impassable a reason u had to use helicopters
 
Nimetizama NTV video naona hadi fault wame locate kwa kutumia helicopter. TANESCO benchmark tour Kenya muhimu.
 
what's so special over this? Ur roads r impassable a reason u had to use helicopters
which helicopter? andika kwa kiingereza ueleweke!
Naona unabadilisha rangi zaidi ya kinyonga. Power blackout ni emergency na response ya dharula huwa inahitajika kwa kila emergency. Mido inkamu tings, kula kwa macho tu.
 
Naona unabadilisha rangi zaidi ya kinyonga. Power blackout ni emergency na response ya dharula huwa inahitajika kwa kila emergency. Mido inkamu tings, kula kwa macho tu.

What the difference? if we have helicopters that one can drop through a cord?

What the difference? if we have helicopters that one can drop through a cord?

Tanesco hawana helicopters wala drones za kuunganisha nyaya za umeme. Wacha kutuonesha helicopter ya jeshi lenu.
 
Wakenya watasema umeme wao umekatika kwa sababu Magufuli amegoma kufunga mpaka
 
Back
Top Bottom