Wewe ni Mjinga SANA kama Wanabongolala wenzako WALIVYO! UNAONYESHANA VILE MLIVYO NYUMA PANDE ZOTE UKIWEMO ULE WA HABARI NA MAWASILIANO. NANI KADANGANYA WEWE KWAMBA KENYA HAINA ZANA ZA KIVITA! Zana zile Kenya inazo zatosha kuharibu Tanzania yote kwa sekunde chache.Silaha zinazotumiwa dhidi ya alshabaab ni zile za kale ambazo Kenya haioni maana ya kuzificha na badala yake inazitumia kuangamiza magaidi ili ziondoke gharan na ndivyo nafasi ya kuhifadhi na kuficha zile mpya na za kisasa ipatikane. .Majirani wakiziona zana za kisasa zile Kenya imeficha watakoseshwa usingizi nazo .jeshi letu ni la sili sana hata silaha zao huzisafirisha usiku wa manane wakati raia wamelala .Wacha kuwa mjinga! Wanajeshi pekee barani Africa wanao tumia Bunduki Kali Sana Duniani na ambayo hutumiwa na vikosi maalum vya marekani ijulikanayo kama FNH SCAR RIFLE ni Kenya pekee majeshi wake wanazo, Urudi wewe na wajinga wenzako mseme Kenya inaogopa ama inatishwa na sukhoi za uganda! KENYA IMEFAURU KUWEKA SILAHA ZAKE SILI YAANI KUPUMBAZA MAJIRANI WAJINGA KAMA WEWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ACHA NIKUFICHULIE MOJAWEPO YA ZANA HIZO ZA KENYA AMBAZO NI SAWA NA BUDGET YA MIAKA THELATHINI YA SHIRINGI YA TANZANIA.
HAYAAAA ! NDIYO HII DAWA YA HIZO Sukhoi Su-30 4th Generation za Uganda unazoropoka!
Kenya acquired the SA-11 BUK1M SP-SAM missile system used against high-performance aircraft and cruise missiles in an effort to preempt current threat posed by Ugandan air force.
Uganda recently acquired SU-30MK2 Flankers, superior fighter aircraft from Rosoboronexport, a Russian state arms company dealing with the SU-30 aircrafts.
According to Russian security experts, the SA-11 BUK1M (GADFLY) is a medium-range, semi-active, radar-guided missile using solid-rocket propulsion that provides defense against high-performance aircraft (SU-30MK2, among other types of flankers) and cruise missiles
Kenya Army Ups Air Defenses With SA-11 BUK1M SP-SAM from Russia – Strategic Intelligence Service