Kenya is losing on its stock market as for Tanzania is doing better and becoming strong(2017)

Point blank
 
Mimi kizungu sijui mkuu!
Kuna mtoto kanionyesha!
Kijana punguza hasira. Najua haya maendeleo yanakuathiri sana hapo Kariakoo, na hasa kwa kodi ya pango unayolipa. Nikushauri tu nenda na kasi mabadiliko, Badala ya zile safari za kufata bidhaa Guangzhou na Dubai au Kenya wewe sasa tafuta masoko huko uwauzie bidhaa zetu km ulivyoona hiyo image ya pipe iliyopostiwa na wenzako.

Mkibaki kuimba mipasho tu humu, hawa Wakenya wanaitumia km sehemu muhimu ya kupata business opportunity na mtashangaa wao ndio wanafanya marketing ya products zetu huko nchi jirani halafu wewe ukabaki na hizo chupi unauza hapo kkoo baada ya biashara ya kufata nje kudoda.
 
Sijui umejuaje kuwa my wife wako ni mteja wangu mkubwa wa chupi!
 
Bado safari ndefu, tumechelewa kuzinduka, yabidi tukimbie sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…