Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

This thread iende na twitter lazima wazee wa handshake wakachukue mkopo China kusambaza umeme Kenya.....

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hahaaa.....sasa mnazima taa zote za ndani, za nje za barabarani na kwingineko kote mnazima? Kwani umeme nibwa kwenu au ni wa China?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Ndio. Wa mwisho alizima taa zote. Tukilala, tumelala.
 
Kwani Kenya ukiondoa Nai, Msa na Kisumu kwengine kote hamna umeme! Ni sawa na wanapo taja watu wenye pesa hawawezi taja ata mtu ambae ana ma coins! Teargass you should just swallow this, you can shed tears while at it. KENYA IS A DARK COUNTRY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is this the the answer to my question? You haven't answered if Central Africa Republic has no electricity because it has one dot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona uondoe nai, msa na Kisumu? Hizi miji ni Kenya ndugu. Huwezi ondoa kiujinga hivi.

Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
 
Watanzania saidieni mandugu zenu. Wanawaaibisha bureee
 

Am not lecturing you, am just perturbed by your lack of knowledge and basic education, get someone to educate you the meaning of 'light pollution'.
Halafu japo Roscosmos ya Warusi ndio ilianza mambo ya sayari za nje mapema na wakagundua mengi, ila dunia ya kisasa hakuna wa kumzidi NASA, japo hii sio level ye uelewa wako, hivyo wewe sio mtu wa kujadili naye mambo kama haya.

Kwa mara ya mwsho nakupa elimu ya bure kuhusu Kenya, Wakenya tunaishi kwa wingi kwenye mkondo wa Kusini kuanzia Pwani hadi mpaka wa Uganda na Kenya, lakini Kaskazini ni jangwa tupu, huko utakuka maeneo madogo madogo ambako wanaishi watu. Lakini Tanzania kila kona ina rotuba na wanaishi watu, lakini cha kushangaza, kaeneo kadogo wanakoishi Wakenya kanazidi mataifa yote ukanda huu kwa kila kitu ikiwemo usambazaji wa umeme, urefu wa barabara na mengine yote.
 
Ahsante sana kwakumpatia elimu...πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Huu uongo hadi Burundi watuzidi!!


Dot ndogo ndogo.. Yani ata Mombasa imechapa dar


Sent using Jamii Forums mobile app




Jamaa unajiaibisha mwenyewe. Unaiaibisha nchi yako na wananchi wenzako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hapa umefanyiwa uelewe. Jiografia ndio shida ama ujinga tu? [emoji23][emoji23]View attachment 987845



Jamaa unajiaibisha mwenyewe. Unaiaibisha nchi yako na wananchi wenzako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hapa umefanyiwa uelewe. Jiografia ndio shida ama ujinga tu? [emoji23][emoji23]View attachment 987845
Mimi sioni kitu Tanzania madot ndogo tu


Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzanian cities are less dense which translates to the low intensity of light you see on the map. The more people with power living in a square mile (dense) the more luminous the area looks, putting everything equal.

If you guys learned a bit about the nature of light and how radiation works you would understand things like flux density and the logarithmic nature of intensity (brightness) which explains everything you are puzzled with.
 
Mbona uondoe nai, msa na Kisumu? Hizi miji ni Kenya ndugu. Huwezi ondoa kiujinga hivi.

Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
Wewe ndoujaelewa alichokuwa anamanisha hapo...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Please try again, but this time round harder. The rumour isn't coming out well.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kitabu kuhusu hii mada...lakini ukweli ni huu...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Distribution ya umeme Kenya inasikitisha sanaaa....πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapa nakupa ramani iliyo kwenye website ya NASA, hata sijui kama unafahamu NASA ni mnyama gani, wachana na light polution map maana hata hiyo hujui ni nini...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa na hii pia huoni kama imeipendelea Tanzania? Kila mnapopagusa pamoto.

REA ndio mpango mzima 2020 Tanzania nzima inakua powered, Rufiji ukikamilika ndio balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…