Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Kipi ni kiswahili sahihi
A.Bank
B.Benki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngeli ya Genge
Bank nacho ni kiswahili?
Asante sana kw kunyorosha hawa jamaa...wao hufikiria kiswahili sanifu ni kile wanachokiongea pale tandale kw mama vitumbua[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kiswahili sanifu(sio cha vijiweni) kwa waliosoma sio wale wa kukariri, ni kipana zaidi ya mnavodhania. Kuna siku nilisikia mtz akicheka baada ya kusikia jina kupiga mtu pambaja kwenye Tv za Kenya. Ikabidi nimueleze kwamba kupiga pambaja ni kiswahili sanifu kabisa kwenye kamusi zote za lugha ya kiswahili.![]()
Kamusi ya TUKI imefafanua neno Banki kama: banki nm ma- [li-/ya-] (hasa Kenya) taz. benki.
Wacha ujinga ,hii ni sawa na "colour" ya Uingereza na "color" ya Marekani ama "truck" ya Marekani na neno "lorry' linalotumiwa Uingereza ....hizo neno zote ni sawa na hakuna nchi moja wanaojiona wajuaji zaidi.
Great ..Kiswahili sanifu(sio cha vijiweni) kwa waliosoma sio wale wa kukariri, ni kipana zaidi ya mnavodhania. Kuna siku nilisikia mtz akicheka baada ya kusikia jina kupiga mtu pambaja kwenye Tv za Kenya. Ikabidi nimueleze kwamba kupiga pambaja ni kiswahili sanifu kabisa kwenye kamusi zote za lugha ya kiswahili.![]()
Achana na porojo za hawa viumbe. Ila hiyo tafsiri hapo nimeiba sehemu flani. Shukran King Sae.Great ..
Asante sana kw kunyorosha hawa jamaa...wao hufikiria kiswahili sanifu ni kile wanachokiongea pale tandale kw mama vitumbua[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kiswahili sanifu(sio cha vijiweni) kwa waliosoma sio wale wa kukariri, ni kipana zaidi ya mnavodhania. Kuna siku nilisikia mtz akicheka baada ya kusikia jina kupiga mtu pambaja kwenye Tv za Kenya. Ikabidi nimueleze kwamba kupiga pambaja ni kiswahili sanifu kabisa kwenye kamusi zote za lugha ya kiswahili.![]()
Yes, on Tanzanian soil not in Kenya.Whenever there is a contradiction regarding the kiswahili words, sayings or a phrases, the Tanzania's one will prevail or stand.
Yes, on Tanzanian soil not in Kenya.
Ushamba wako sio wa kawaida.Ahaaa haaa haaa
Endeleeni kubaki na hiyo... Banki kuu ya central bank of Kenya.
Ushamba wako sio wa kawaida.
Hata mtoto wa shule ya chekechea Kenya anajua kwamba 'central bank of' ni tafsiri ya 'banki kuu ya' kwa kiingereza. Kenya nayo inabakia kuwa Kenya kwenye lugha zote chini ya jua. Ila naelewa kwamba darasani huwa kuna 'slow learners', ndio maana hata uandishi wako ni majanga.Ahaaa haaa haaa
Tihii tihiii
Ukiona umetoa advert halafu halafu hadhira yako ina mawazo yaliyo gawanyika kutokana na tangazo lako, ujue you missed the point.
Urudi ujipabge upya.
Kufanya hivyo siyo ujinga.