Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Ukifuata kamusi utapotea kula lugha kukua neno sahihi na tunalotumia ni BENKIHata mtoto wa shule ya chekechea Kenya anajua kwamba 'central bank of' ni tafsiri ya 'banki kuu ya' kwa kiingereza. Kenya nayo inabakia kuwa Kenya kwenye lugha zote chini ya jua. Ila naelewa kwamba darasani huwa kuna 'slow learners', ndio maana hata uandishi wako ni majanga.