Kenya is not serious ona hii

Kenya is not serious ona hii

Hata mtoto wa shule ya chekechea Kenya anajua kwamba 'central bank of' ni tafsiri ya 'banki kuu ya' kwa kiingereza. Kenya nayo inabakia kuwa Kenya kwenye lugha zote chini ya jua. Ila naelewa kwamba darasani huwa kuna 'slow learners', ndio maana hata uandishi wako ni majanga.
Ukifuata kamusi utapotea kula lugha kukua neno sahihi na tunalotumia ni BENKI
 
Ahaaa haaa haaa
Tihii tihiii
Ukiona umetoa advert halafu halafu hadhira yako ina mawazo yaliyo gawanyika kutokana na tangazo lako, ujue you missed the point.
Urudi ujipabge upya.
Kufanya hivyo siyo ujinga.
Ni sawa na kauli za magufuli anazotoa majukwani...yani watu hugawanyika...huu msemo unamlenga sana
 
Hata mtoto wa shule ya chekechea Kenya anajua kwamba 'central bank of' ni tafsiri ya 'banki kuu ya' kwa kiingereza. Kenya nayo inabakia kuwa Kenya kwenye lugha zote chini ya jua. Ila naelewa kwamba darasani huwa kuna 'slow learners', ndio maana hata uandishi wako ni majanga.
Hawa basi wanajua nn...km juzi tu mmoja wao alikuwa akipinga neno kufunza....yani nilicheka sana....

Katika majukwaa yao pia wengine niliwaona wakishangaa eti neo kuuwawa......mpka nashangaa hawa majamaa vipi...hujisifu kiswahili na wakati kuna maneno hawayajui kabisa na wala hwajawai kuyaskia...wengine pia walishangaa neno kotini...hawa jamaa wa tanzania bara ni bure kabisa...nashuku wengi si wa pwani wenye wako hapa jf...

Si wajua kiswahili hakiwahusu watu wa bara...wamefanya kukiskia kw wenzao wa pwani ndo manake wanabwata tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie endeleeni tu na banki kuu ya Central bank of Kenya yenu.... sisi na TUKI yetu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hatukijui hicho kitu ni nini?
 
Hawa basi wanajua nn...km juzi tu mmoja wao alikuwa akipinga neno kufunza....yani nilicheka sana....

Katika majukwaa yao pia wengine niliwaona wakishangaa eti neo kuuwawa......mpka nashangaa hawa majamaa vipi...hujisifu kiswahili na wakati kuna maneno hawayajui kabisa na wala hwajawai kuyaskia...wengine pia walishangaa neno kotini...hawa jamaa wa tanzania bara ni bure kabisa...nashuku wengi si wa pwani wenye wako hapa jf...

Si wajua kiswahili hakiwahusu watu wa bara...wamefanya kukiskia kw wenzao wa pwani ndo manake wanabwata tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hakuna neno
kuuwawa badala yake kuna kuuawa
Kotini hakuna neno hilo badala yake kuna mahakama.

Kijana inabidi uwe makini sana unavyokuja kuongelea masuala yanayogusa MASILAHI YA TAIFA LA TANZANIA, yaani KISWAHILI.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante sana kw kunirekebisha kwanza...ni kuuawa...nakubali nime type vibaya...eti kiswahili ni cha watanzania...hta neno kumakinika umejifunza kw wakenya...
 
Mbona kama ya Bongo
IMG-20190616-WA0003.jpg
 
Kiswahili sanifu(sio cha vijiweni) kwa waliosoma sio wale wa kukariri, ni kipana zaidi ya mnavodhania. Kuna siku nilisikia mtz akicheka baada ya kusikia jina kupiga mtu pambaja kwenye Tv za Kenya. Ikabidi nimueleze kwamba kupiga pambaja ni kiswahili sanifu kabisa kwenye kamusi zote za lugha ya kiswahili.
screenshot_20190620-111950-png.1132339
Imebidi kucheka...si kwa hili bandiko aisee...hapo umetungua mtu kama Iran na ile Drone ya trump
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante sana kw kunirekebisha kwanza...ni kuuawa...nakubali nime type vibaya...eti kiswahili ni cha watanzania...hta neno kumakinika umejifunza kw wakenya...

Weee mtoto Kum...nini hilo neno lenye wino mzito!!!???
 
Bongo kipofu anaweza jua noti ya tz ni ya dhamana gani akiguza?

siyo jua ..... sahihi ni kujua
siyo dhamana .... sahihi ni thamani
siyo akiguza .... sahihi ni akigusa

Ngoja nichukue nafasi iliyoachwa na babu Kifimbo Cheza wa jarida letu pendwa la enzi hizo SANI.
Ahaa ha ha ha ha
 
Hata mtoto wa shule ya chekechea Kenya anajua kwamba 'central bank of' ni tafsiri ya 'banki kuu ya' kwa kiingereza. Kenya nayo inabakia kuwa Kenya kwenye lugha zote chini ya jua. Ila naelewa kwamba darasani huwa kuna 'slow learners', ndio maana hata uandishi wako ni majanga.
Badala ya kujadili hoja, mnajadili tofauti ya kiswahili cha Kenya na Tanzania....
 
Ahaaa haaa haaa
Endeleeni kubaki na hiyo... Banki kuu ya central bank of Kenya.
Unawapa faida ya bure kutucheka watz. Hayo maandishi madogo kabla ya neno Kenya, yanaitambulisha banki (benki) kuu kwa Lugha mbili zitumikazo zaidi nchini mwao. Haimaanishi hicho ulichoandika wewe!
 
Weee mtoto Kum...nini hilo neno lenye wino mzito!!!???
Bwahahaaa!!!kumbe na wewe pia ni mmoja wao....hujui maana ya makinika....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20190621-161129_Opera%20Mini.jpeg
 
View attachment 1132316

Kipi ni kiswahili sahihi

A.Bank
B.Benki

Hapo itakuwa shida kidogo. Kuna suala la lahaja, wao Kenya wana Kiswahili chao na sisi Tz kuna chetu. Kama pande zote tumekubaliana kuwa hiki ndicho Kiswahili sanifu hapo sawa. Ni kweli, sote tunafahamu historia ya usanifishaji wa Kiswahili kuwa Kiunguja ndicho kiikubalika na kuwa lahaja iliyotumika kusanifisha Kiswahili, lakini, ni kweli mpaka leo Kiunguja ndicho kinatumika ukanda wote wa Afrika ya mashariki kama rejea ya Kiswahili sanifu? Jibu ni hapana,kwani hata Tz bara bado tuna tofauti kubwa na Kiunguja, aidha, ni kawaida kwa wabara kuwabeza waunguja kwa matamshi ama miundo yao ya lugha ya Kiswahili, na wao pia wamekuwa wakifanya hivyo kwetu. Kwahiyo hali ipo hivi, wakati wewe una umeme, mkenya ana stima, wewe una ugali ,mkenya ana sima, wewe una mlinzi, mkenya ana bawabu n.k.

Pengine hoja yako itufungue masikio sasa, tuanze kufikiria kuwa na msamiati sanifu tutakaoutumia pande zote. Jambo la kuzingatia ni kuwa hii si kwa Kiswahili pekee, hata lugha kama Kiingereza hukutana na changamoto hizi, Kimarekani, Kiautsralia, Ki-british n.k havifanani hata. Na wao kila mmoja ana standard yake, hawajakubaliana kuwa na lahaja moja sanifu. Ukijifunza lugha zao inabidi ujue najifunza cha wapi.
 
Bwahahaaa!!!kumbe na wewe pia ni mmoja wao....hujui maana ya makinika....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1133524

Kaangalie ile post yako kama uliandika neno makinikia.... wewe uliandika kitu kingine kabisa, maana ulianza na silabi ku na siyo ma.
 
siyo jua ..... sahihi ni kujua
siyo dhamana .... sahihi ni thamani
siyo akiguza .... sahihi ni akigusa

Ngoja nichukue nafasi iliyoachwa na babu Kifimbo Cheza wa jarida letu pendwa la enzi hizo SANI.
Ahaa ha ha ha ha
Sasa unamfunza mtu mwenye hta kiswahili hakitilii maanani....mwenzako huyo ana lugha zenye yupo vizuri sana hta zaidi ya kiswahili..

Ni sawa na kumchukua msukuma wa usukumani au wale jamaa wa kagera na bukoba....halafu useme wanaongea kiswahili sanifu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom