Kenya is not serious ona hii

Kiswahili sanifu(sio cha vijiweni) kwa waliosoma sio wale wa kukariri, ni kipana zaidi ya mnavodhania. Kuna siku nilisikia mtz akicheka baada ya kusikia jina kupiga mtu pambaja kwenye Tv za Kenya. Ikabidi nimueleze kwamba kupiga pambaja ni kiswahili sanifu kabisa kwenye kamusi zote za lugha ya kiswahili.
 
Asante sana kw kunyorosha hawa jamaa...wao hufikiria kiswahili sanifu ni kile wanachokiongea pale tandale kw mama vitumbua[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Great ..
 

Whenever there is a contradiction regarding the kiswahili words, sayings or a phrases, the Tanzania's one will prevail or stand.
 
Ushamba wako sio wa kawaida.

Ahaaa haaa haaa
Tihii tihiii
Ukiona umetoa advert halafu halafu hadhira yako ina mawazo yaliyo gawanyika kutokana na tangazo lako, ujue you missed the point.
Urudi ujipabge upya.
Kufanya hivyo siyo ujinga.
 
Ahaaa haaa haaa
Tihii tihiii
Ukiona umetoa advert halafu halafu hadhira yako ina mawazo yaliyo gawanyika kutokana na tangazo lako, ujue you missed the point.
Urudi ujipabge upya.
Kufanya hivyo siyo ujinga.
Hata mtoto wa shule ya chekechea Kenya anajua kwamba 'central bank of' ni tafsiri ya 'banki kuu ya' kwa kiingereza. Kenya nayo inabakia kuwa Kenya kwenye lugha zote chini ya jua. Ila naelewa kwamba darasani huwa kuna 'slow learners', ndio maana hata uandishi wako ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…