Kenya is not totally independent.... - Julius Malema

good point bro....hizo vitu zote ni inventions za the white man...this Malema guy hata ukiskia venye anaongea, I think he is not well-educated...he doesn't have a point actually..
Hebu.....kwanza alisomanga wapi? Ngonja niangalie profile yake Wikipedia.
 
niliangalia vizuri tena... hakulaumu Kenya wala zimbabwe... Alitaja hizo nchi akiongezea point tu.. yeye alikua anaongelea kuhusu SA na Africa nzima... alichoongelea kuhusu kenya ni kitu aliona ule wakati majaji wa kenya walipinga uchaguzi mkuu... kila nchi africa ilionyesha hio kesi kwa runinga....

Huyo malema ukimwambie achunguze Tz atakua na mengi ya kusema pia..
KWA mfano, coart of arms bunge lenu na mace hadi leo badoinaonyesha mko under queens rule...
Kuna kofia ya malkia
 

Attachments

  • 12046922_538069049693015_4099291272450781897_n.jpg
    29.1 KB · Views: 20
  • 12046922_538069049693015_4099291272450781897_n.jpg
    29.1 KB · Views: 19
good point bro....hizo vitu zote ni inventions za the white man...this Malema guy hata ukiskia venye anaongea, I think he is not well-educated...he doesn't have a point actually..
He is very dull in the head, obviously, look at him, with his mzansi eksenti. [emoji1]
 
the fact that large area of kenyan land is still owned by few powerful white settlers, then julius malema's opinion sounds reasonable.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 

Attachments

  • tapatalk_1535744131576.jpeg
    65.1 KB · Views: 20
  • tapatalk_1535744133784.jpeg
    74.7 KB · Views: 17
Mkenya na mzungu kama kamuona mungu vile.poleni

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa na shobo sana kwa wazungu, I once visited their capital city Nairobi and I was really embarrassed when one asshole stopped me not to enter a v.i.p part of a hotel just because mi ni black and so they concluded that I was broke. I will never forget this act and I have lost my respect to these people since then.
 
Washamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukwepesha mada, Malema amechukizwa na kitendo cha majaji wa Zimbabwe na Kenya kuendelea kuvaa wigi ili nywele zao zionekane sawa na wazungu wakati Zimbabwe waliwafukuza wazungu, ameshangaa kuona serikali iliyowafukuza wazungu lakini bado inakumbatia utamaduni wao wa kuvaa wigi na kupendelea English,

Yeye anapendekeza Kiswahili kiwe lugha ya Africa wakati ninyi wakenya mnakidharau na kupendelea English, ila baadae akajistukia kwa kuilaumu Kenya kwasababu anadhani Kenya bado Haijapata uhuru kamili, Kenya Bado kiuchumi na kifikra mpo under control ya wazungu, inawauma lakini huo ndio ukweli, dunia nzima inajua hivyo, ndio sababu kamwe South African haitpkubali kuondoa visa kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kafrican kaangalia juu juu tu, ngoja aangalie vizuri ataelewa.
 
[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
 
Haya basi. Ashasema. So what?

Nchi ni yetu, shida yenu ni gani?

Acheni ushoga
 
Rafiki, mbona umekazana na sanctions? You as part of American imperialism will never experience sanctions from them. They own you. Sanctions is for independent countries like Tz, Russia, China, North Korea etc. Jomo Kenyatta agreed for Kenya to be under American imperialism, Moi tried but failed to get out. They still own you. The war with Alshabaab wasn't yours to fight but you had no choice. Alshabaab is not a threat to Kenya in itself, you just had to have stronger boarders. If it wasn't for USA Aboud Rogo and Co wouldn't recruit Kenyans to fight for Alshabaab. Alshabaab should have been the African Union fight with Ethiopia and Eritrea joining as independents because they have a lot to lose.
If you're still in denial, think about Americans investment in your country, will you have a country to boast about if they pull all their money away?
 

Kama nilivyosema ...only small minded people will make this about Kenya...

Hivi unajua Zimbabwe just like Kenya, ilikua na presidential election petition hivi majuzi? Kama ulivyosema... Zimbabwe ni nchi iliyofukuza Wazungu...
ndio maana akaitumia hapo... kama Zimbabwe iliwafukuza white settlers na bado majaji wanavaa hivyo.... SA is worse...SA ndo iko na biggest white population... wao ndo wanamiliki karibia 70% ya uchumi... sasa wewe unataka u turn this to about Kenya... juzi SA walikua na mpango wa kufanya land redistribution kupokonya whites na kupeana kwa blacks..hata rais wao akatagaza hadharani... Sahii wameuacha huo mpango... kwanini? Who con

Huyo malema anakijua hicho kiswahili ? Hebu nieleze, huyo malema alikua anatumia lugha gani akisema hivyo? Kiswahili? Kizulu? AFrikaans? ...... No! Alikua anatumia kizungu! Kwahivyo mwambie anze na ye mwenyewe... practice what you preach...

Ni vizuri sana hapo akili zimekujia na ukatumia maneno yafwatayo..." ameshangaa kuona serikali iliyowafukuza wazungu lakini bado inakumbatia utamaduni wao wa kuvaa wigi na kupendelea English," ....
Hayo ndo maneno sawa ya kutumia... There is a very big difference between following traditions of your predecessors and bieng under the influence... Kenya iko na katiba mpya tulioiandika sisi wenyewe.. nchi kama SA haina, jaji kama Maraga hawezi kua influenced na mtu yoyote awe mzungu awe muafrica awe dikteta... hilo wigi analovaa ni tradition tu ...

Anyway. Bado hujanijibu kwanini bunge la tz bado linapeana heshima zake zote kwa malkia wa Uingereza
 
Wewe acha Kelele, Kenya not yet Uhuru, alichokisema Malema ni kilekile walichokisema wasomi wa Kenya katika vitabu vya "Not yet Uhuru" na "This time tomorrow", au hata hao pia unapinga walioandika?.

Pili ukiulizwa jibu hoja kwanza, hupaswi kujibu hoja kwa kusema kwanini na South Afrika inafanya hivi au vile, hii inaonyesha ni kwa kiasi gani ulivyokosa hoja za kujibu.

Tafadhali sana punguza kuzungumza mambo kwa kutumia uongo ili tu ushinde discussion, kama kawaida yako hujui lolote lile kuhusu redistribution of land in South Africa, nani aliyekuambia wameachana na hilo zoezi?. Bunge la South Africa karibuni limepitisha sheria itakayoiwezesha serikali kutaifisha ardhi toka kwa wazungu bila kulipa fidia, jambo lililosababisha Trump kuanzisha mgogoro na South Africa, punguza kusema vitu usivyovijua. South Africa sio Kenya ambayo imewaachia wazungu ardhi yao, wanapambana kuridisha ardhi kwa wananchi wakati kwenu mifugo ikiingia ktk shamba la tajiri inapigwa risasi na polisi wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you done?
You must be responding to these messages before listening to the video clip. Malema is NOT giving Kenya less independence just because of the judges' wig. He is actually excusing the Kenyan to use the wigs because of less independence they have.This is the fact! Kenya very much appreciate any lame reason identifying them close to any white nation.

The self appreciation you are giving compared to South Africans is a mock! Where or when in recent years have you ever heard in East Africa, more precisely in Kenya, citizens at least protesting against white man? Recall the 1993 and the 2007 killings. Kenyan were hacking fellow brothers to death whereas no single white man was killed regardless of the fact that flower farms and coffee industry are dominated by white people! A recent single white man killed near Nairobi National park sent a wave of arrest and torture to thousands of black Kenyans, why? because he was white, nothing else. Kenya got involved in the dangerous attempt to win Al Shabaab just because two Italian couples were kidnapped. What has been the price on black Kenyan life??

Compare with the case of 'coolest Monkey in the Jungle' (if at all you heard about it) reaction in South Africa. Similarly, note the reaction of South Africans on Trump's 'Shithole Nation' statement against east Africans. By the way, Uhuru was in the US, meeting Trump and Kenyans were like wishing him a good journey to heaven.
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…