Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichanganya na zile 500,000 hectares za Kenyatta family, 90% of Kenyans are dwellers living in squatters owned by Landloards! Wap Criticos the whole of Taveta is his over 100,000 hectares!the fact that large area of kenyan land is still owned by few powerful white settlers, then julius malema's opinion sounds reasonable.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 852822View attachment 852825View attachment 852826View attachment 852827View attachment 852828View attachment 852829View attachment 852830View attachment 852831View attachment 852832View attachment 852833View attachment 852834View attachment 852835View attachment 852836
Mtakapoacha kutumia katiba mliyoandikiwa na mjerumani 1897 ndipo tutakapoanza kusikiza mawaidha yenu. Eti wakenya amkeni! [emoji1]Wakenya mnatakiwa kuamka acheni ujinga.
Lawyers in Kenya Wear wigMtakapoacha kutumia katiba mliyoandikiwa na mjerumani 1897 ndipo tutakapoanza kusikiza mawaidha yenu. Eti wakenya amkeni! [emoji1]
All the idiots,crazies and nincompoops are busy commenting YOUR ALL HERE[emoji23][emoji23]All the puppet of a white man ARE HERE, all the fake news and back stabbers, wig wearer's YOUR ALL HERE. [emoji23]
Wakiambiwa wao bado koloni, wanaanza kunajaza mapovu humu.UK Lawyers
![]()
![]()
Kenya Lawyers
![]()
![]()
Mtakapopata uhuru kamili ndipo mje tuzungumze, zimebaki nchi mbili Afrika kupata full independence, West Sahara na KenyaMtakapoacha kutumia katiba mliyoandikiwa na mjerumani 1897 ndipo tutakapoanza kusikiza mawaidha yenu. Eti wakenya amkeni! [emoji1]
Mtakapopata uhuru kamili ndipo mje tuzungumze, zimebaki nchi mbili Afrika kupata full independence, West Sahara na Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiambiwa wao bado koloni, wanaanza kunajaza mapovu humu.
Katiba mliyoandika chini ya usuluhishi wa Tanzania, bahati mbaya mumeifungia kabatini hamuifanyii kazi, bado ardhi inamilikiwa na wazungu na politicians, bado tribalism, corruption, crime na gap Kati ya matajiri na masikini linaongezeka, Tanzania itaendelea kuongoza kama the most democratic state in EAC kwa muda mrefu sana.Ndio huyu mwanachama mkubwa wa CCM akiwa amechapilia rinda na taulo la kikoloni shingoni wakati anatekeleza katiba iliyoandikwa na mjerumani 1897. Kwa ushamba wenu mlitupilia wigi kando bila ya kubadilisha sare wala katiba alafu ndio mnajiambia mmefika?![]()
UKNdio huyu mwanachama mkubwa wa CCM akiwa amechapilia rinda na taulo la kikoloni shingoni wakati anatekeleza katiba iliyoandikwa na mjerumani 1897. Kwa ushamba wenu mlitupilia wigi kando bila ya kubadilisha sare wala katiba alafu ndio mnajiambia mmefika?![]()
Kenya Judges with wigTangia enzi za wazee wa ndemi na mathathi ni chaguzi nne tu za urais ambazo zimebatilishwa, dunia nzima! Moja kati ya hizo ilibatilishwa Afrika, Kenya. Walioandika historia hiyo ndio hawa hapa.Walifanya hayo yote bila ya kuvalia hizo wig. Jielimisheni ndugu zanguni. Kenyan Judges Make History![]()
Wewe unaona nyekundu unasema kama ya mkoloni, imeona manyoa ya kuku hapo? Au unafananiasha na nguo ya baba wa Noeli?Ndio huyu mwanachama mkubwa wa CCM akiwa amechapilia rinda na taulo la kikoloni shingoni wakati anatekeleza katiba iliyoandikwa na mjerumani 1897. Kwa ushamba wenu mlitupilia wigi kando bila ya kubadilisha sare wala katiba alafu ndio mnajiambia mmefika?![]()
Hiyo taulo shingoni si ni ya kufutia ute usoni baada ya kulala na kukoroma kwenye vikao mahakamani? Teh teh! [emoji1]Wewe unaona nyekundu unasema kama ya mkoloni, imeona manyoa ya kuku hapo? Au unafananiasha na nguo ya baba wa Noeli?
Haha, siku hizi kwetu wafungwa wanafanyakazi tena inaweza kuwa kazi ngumu, wewe watanie tu hao wazee wasije wakatoa maagizo.Hiyo taulo shingoni si ni ya kufutia ute usoni baada ya kulala na kukoroma kwenye vikao mahakamani? Teh teh! [emoji1]
Ah wapi bana. Wakitoa maagizo nami natoa yangu. Mano a mano! Kwani sikusimama uchi asubuhi asubuhi mtoni na nikatizama kisu kwa macho yangu mwenyewe? 😎Haha, siku hizi kwetu wafungwa wanafanyakazi tena inaweza kuwa kazi ngumu, wewe watanie tu hao wazee wasije wakatoa maagizo.
UK Lawyers
![]()
![]()
Kenya Lawyers
![]()
![]()