Kenya is sick, Kenya is in ICU

Msaada gani??Ya omba omba from bongoland ama.Sisi ndio tunawasaidia haswa ua beggars all over Kenya
Ruthless and pathetic kunyans , just live there life under shadow pritending everything is normal. ... [emoji57][emoji57][emoji57]
 
A noisy neighbour amekua humbled
Look at the ratio of Kenyans to Tanzanians on the Kenyan section 1:10 Yani mkenya moja anapambana na mitanzania 10

Hakuna Nchi yeyote mlioikomboa inashughulika na nyinyi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mpo Kama msichana was kujipendekeza na kuwatafuta wanaume...panueni Mal*y* wa Afrika.
 
Ukweli unakuuma Mkuu, Huu unaita upupu ulikuwa discussion kubwa Sana kwa Twitter ikiwemo Nchi Kama South Africa, Rwanda, Nigeria, Zimbabwe, Egypt, Morocco na Kenya...najua hungeelewa kwa kuwa sio kiswahili kilitumika huko [emoji6]
Kwahyo kwakuwa ilikuwa discussed kunako tweeter unaona ni credible? Institute gani ya kuaminika iliitoa hii taarifa? Huu ni upupu mtupu.
 
Ukweli unakuuma Mkuu, Huu unaita upupu ulikuwa discussion kubwa Sana kwa Twitter ikiwemo Nchi Kama South Africa, Rwanda, Nigeria, Zimbabwe, Egypt, Morocco na Kenya...najua hungeelewa kwa kuwa sio kiswahili kilitumika huko [emoji6]
Kwani kiingereza ni ruga rasmi ya mkenya au luga ya mabeberu
 
Kwani kiingereza ni ruga rasmi ya mkenya au luga ya mabeberu
Ruga ndio Nini Mkuu na unataka kuniaminishia juu ya Kiswahili? Hapa EAC hakuna mwingine ispokuwa Wakenya ambao unawaza jadili Jambo nao, Hawa wengine wanna lugha tofauti so the only way to communicate with them is via English.
 
Kumbe ww ni mtu wa korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ