Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Asante Sana kwa zawadi ya Septemba, zawadi tu rimembaPata kilo moja ya kitimoto na 7up braidi mbili nakuja kulipia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Sana kwa zawadi ya Septemba, zawadi tu rimembaPata kilo moja ya kitimoto na 7up braidi mbili nakuja kulipia
Ruthless and pathetic kunyans , just live there life under shadow pritending everything is normal. ... [emoji57][emoji57][emoji57]Msaada gani??Ya omba omba from bongoland ama.Sisi ndio tunawasaidia haswa ua beggars all over Kenya
Yet ya Dar Morogoro imetushinda!You’ve forgotten SGR
Look at the ratio of Kenyans to Tanzanians on the Kenyan section 1:10 Yani mkenya moja anapambana na mitanzania 10A noisy neighbour amekua humbled
Unafiki mbaya wana GDP kubwa ila matatizo kama yanaongezeka.wataongea ukweli tu acha muda utamalakiKenya walichobaki nacho ni GDP hewa tu
Kwahyo kwakuwa ilikuwa discussed kunako tweeter unaona ni credible? Institute gani ya kuaminika iliitoa hii taarifa? Huu ni upupu mtupu.Ukweli unakuuma Mkuu, Huu unaita upupu ulikuwa discussion kubwa Sana kwa Twitter ikiwemo Nchi Kama South Africa, Rwanda, Nigeria, Zimbabwe, Egypt, Morocco na Kenya...najua hungeelewa kwa kuwa sio kiswahili kilitumika huko [emoji6]
Kwani kiingereza ni ruga rasmi ya mkenya au luga ya mabeberuUkweli unakuuma Mkuu, Huu unaita upupu ulikuwa discussion kubwa Sana kwa Twitter ikiwemo Nchi Kama South Africa, Rwanda, Nigeria, Zimbabwe, Egypt, Morocco na Kenya...najua hungeelewa kwa kuwa sio kiswahili kilitumika huko [emoji6]
Pole Mkuu najua inauma 😁Kwahyo kwakuwa ilikuwa discussed kunako tweeter unaona ni credible? Institute gani ya kuaminika iliitoa hii taarifa? Huu ni upupu mtupu.
Ruga ndio Nini Mkuu na unataka kuniaminishia juu ya Kiswahili? Hapa EAC hakuna mwingine ispokuwa Wakenya ambao unawaza jadili Jambo nao, Hawa wengine wanna lugha tofauti so the only way to communicate with them is via English.Kwani kiingereza ni ruga rasmi ya mkenya au luga ya mabeberu
Ww mwasiti nakufahamu ni mzee wa koroshow so hz mambo zngne achana nazo dili na koroshow [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pole Mkuu najua inauma [emoji16]
Kumbe ww ni mtu wa koroshoRuga ndio Nini Mkuu na unataka kuniaminishia juu ya Kiswahili? Hapa EAC hakuna mwingine ispokuwa Wakenya ambao unawaza jadili Jambo nao, Hawa wengine wanna lugha tofauti so the only way to communicate with them is via English.