Kenya is the best for safari for the 3rd time in a row

its only mombasa...yet we built it ourselves kilimanjaro is just natural
Sultanat_de_Zanzibar_v%C3%A8rs_1875.png
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Hawa jamaa wanaotoa hizo Award ni Jinga kabisa..angalia hizo picha jinsi magari yanavyo off road ndo utajua ni ujinga kutoa tuzo za namna hiyo. Inamaana kuendelea ku off road ni kuua nature yenyewe na kwamba baada ya mda hakutakuwa na nyasi kwa ajili ya wanyama maana tayari waneshazikanyaga kanyaga na kuua wadudu wasaidiao kurutubisha hizo nyas(dung beetles)
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ati? Mmehonga as in comparison to Tanzania with over $2 bln yearly revenue ya that so called best touristic destination ipo chini ya $ 800 mln! Mnatia aibu..
 
yet you are still LDC😀😀🙁🙁
 
Kilimanjaro was Kenya's but Queen Victoria gave it to tz...kusaidia maskini...😀😀😀charity work
Mombasa would be Tanzania and you would be a landlocked country with Mt Kilimanjaro. Tihihii
 
Hawa jamaa wanaotoa hizo Award ni Jinga kabisa..angalia hizo picha jinsi magari yanavyo off road ndo utajua ni ujinga kutoa tuzo za namna hiyo. Inamaana kuendelea ku off road ni kuua nature yenyewe na kwamba baada ya mda hakutakuwa na nyasi kwa ajili ya wanyama maana tayari waneshazikanyaga kanyaga na kuua wadudu wasaidiao kurutubisha hizo nyas(dung beetles)
Spot on, and these guys out here celebrating. You got to regulate or risk depleting Mother Nature fast. Y'all know your country is turning to desert, number of lions deteriorating.

Sio kila kitu cha kushangilia mazee, ohoo, I warned you.
 
Unasema nini wewe, miaka 15 ijayo tutakua tunawakodisha wanyama

wp_ss_20171214_0001.png
untitledhjj.png
 
By the end of all these is to get more revenue, hii blaah..blaah..blaah haina maana yoyote kama haileti pesa..mwenye kupata pesa nyingi ndiye mwenye kucheka mwishoni
Kenya was on an electioneering period yet managed that....what of the peaceful next year
 
Miaka nane mfululizo sasa tourism revenue ya Kenya inazidi kupungua, uchaguzi ni mwaka huu pekee, by the way kwani Uganda na Tanzania hazifanyi uchaguzi?, ukabila wenu na chuki miongoni mwa jamii zenu ndio sababu ya mambo mengi kuporomoka.
 
Back
Top Bottom