Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo leo.
Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi nyingi maskini zisifanye kitu kinachowezekanika kuliko ngonjera zisizo na mantiki kwenye nchi masikini kama zetu?
Viongozi wa afya hawateeza kumwambia ukweli Uhuru watatoa vitisho hali hatari ili tu kuuaminisha umma kuwa hali ni mbaya na kuwaridhisha wafadhili ili waendelee kutoa pesa hii inamaanisha kuwa Kenya is never an independent state it is critical neocolonised state.