Kenya itahitaji miaka 336 kuwapima Wakenya millioni 50+; kwanini wapigane na adui wasiyemuweza?

Kenya itahitaji miaka 336 kuwapima Wakenya millioni 50+; kwanini wapigane na adui wasiyemuweza?

Duniani kuna option mbili. Moja kuamini sayansi na mbili kuamini nguvu za giza ambao hata hujawahi kuziona.

Kwa hiyo unawashauri watanzania wanywe malimao na ile juice ya Madagascar pia wapige nyungu kweli kweli.

I will go for science my friend.
Namba moja ni Mungu na ndo njia pekee Tz tumeamua kwenda nayo.
Karibu jumapili kwenye sherehe za hitimisho ya maombi dhidi ya koronyaa.
 
Elimu duni

Lengo kuu ya lockdown, Kupima, kuisolate na mikakati mengine si kusimamisha maambukizi ya corona ni kupunguza kasi ya maambukizi ili nchi na sekta ya afya isilemewe na maambukizi mengi kwa mpigo.

Hakuna nchi inatamani kuweka lockdown. Ukiona nchi ambazo zimeweza kuidhibiti huu ugonjwa na kuwa na idadi ya kifo ndogo growth curve au kasi ya maambukizi ya coronavirus ni ndogo kushinda wale ambao walipuuza mikakati kama akina Italy, USA, Brazil etc.

FlatteningTheCurve_041420_v02_BV_hpEmbed_17x12_992.jpg
2.jpg
social_distancing_cumulative_cases.jpg
 
Mungu yupi!?
Kupiga nyungu sio ushirikina!?
Kunywa kunywa madawa hayajathibitishwa sio ushirikina!!?
Basis wewe endelea kuwasikiliza hao wazungu. Kwani sayansi inakubali uwepo wa Mungu

Naomba jibu tafadhali
 
Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo Leo!

Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi nyingi maskini zisifanye kitu kinachowezekanika kuliko ngonjera zisizo na mantiki kwenye nchi masikini kama zetu?

Viongozi wa afya hawateeza kumwambia ukweli Uhuru watatoa vitisho hali hatari ili tu kuuaminisha umma kuwa hali ni mbaya na kuwaridhisha wafadhili ili waendelee kutoa pesa hii inamaanisha kuwa Kenya is never an independent state it is critical neocolonised state
Usije ukawa ni mbunge? Naona hesabu siyo sifa yako. Siku 50000 siyo miaka 336. Fungua ukurasa mwingine fanya masahihisho.
 
Hivi kweli unadhani lockdown inasaidia? Ni wapi hapa duniani lockdown imefanikiwa?
Hivi mbona watetezi wengi wakisikia kukosolewa mbinu zetu za kupambana na huu ugonjwa, hukimbilia kusema hao wakosoaji wanataka LOCKDOWN?
 
Kenya wanapiga kazi kunzia asubuhi mpaka jioni kuanzia jioni na usiku ndio lockdown mkisikiliza hawa viongozi uchwara na propaganda uchwara za ccm ambazo hata aibu hawana.

Kenya wakiona sehemu kuna maambukizi mengi ndio ndio wanaweka karantini watu hawawezi kutoka sehemu hiyo na kwenda sehemu nyingine za nchi.
 
Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo Leo!

Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi nyingi maskini zisifanye kitu kinachowezekanika kuliko ngonjera zisizo na mantiki kwenye nchi masikini kama zetu?

Viongozi wa afya hawateeza kumwambia ukweli Uhuru watatoa vitisho hali hatari ili tu kuuaminisha umma kuwa hali ni mbaya na kuwaridhisha wafadhili ili waendelee kutoa pesa hii inamaanisha kuwa Kenya is never an independent state it is critical neocolonised state
Uko very right mkuu. Kenya inaongozwa na viongozi wenye drama kuna siku niliwah sema huku hiz drama za kenyata kupambana na covid 19 ni drama zake kwa mabwana zake ili wampe misaada ina maana kenya wameingia kwenye akili za kimalaya mpka apate bwana ndo ale chakula on which is very bad huwez kupambana na kitu ambacho ni invisible huwezi kupambana na virus hawa htari kwa kukaa tu bila kufanya kazi utakufa utaacha virus bado wapo na wataendelea kuathari jamii kubwa anachotakiwa kukifanya ni kujinga na kuchapa kaz tu sio kukaa ndan..nasikitika kusema pale kenya kuna wahuni wachache wanataka kuwalaz watu njaa ili wanufaike wao hii corona imekuwa fursa kwa wapiga dili wa kisiasa.
 
Kenya wanapiga kazi kunzia asubuhi mpaka jioni kuanzia jioni na usiku ndio lockdown mkisikiliza hawa viongozi uchwara na propaganda uchwara za ccm ambazo hata aibu hawana
Kenya wakiona sehemu kuna maambukizi mengi ndio ndio wanaweka karantini watu hawawezi kutoka sehemu hiyo na kwenda sehemu nyingine za nchi.
Mimi mwenyewe niliona propaganda zao zamani sana, wao wanajua eti wakenya wote wamejifungia na hawatoki nje. Sehemu mbili tu nchini ndio zipo under total lockdown, Eastleigh, Nairobi na Old Town, Mombasa. Usiku curfew ya kutoka nje ndio ipo nchi nzima kwa lengo la kuzuia wakenya ambao walikuwa wanatumia fursa hiyo gizani kukiuka maagizo yote ya wataalamu, ya kuzuia maambukizi ya Corona. Sio eti kwasababu kirusi kinasafiri usiku kama ambavyo hawa malofa wanaaminishwa na viongozi wao. [emoji1] Alafu kwenye gatuzi chache(ambazo zimekuwa na cases nyingi za Corona), nadhani ni 5 kati ya 47, ndio kuna 'restrictions' tu, sio marufuku, za kutoka na kuingia.
 
Kenya wanafanikiwa na Partialy Lockdown kila tukiwaambia ninyi mnajirusha fahamu Kenya hakuna full Lockdown na imewasaidia kupunguza maabukizi
Wanafanikiwa kuzuia uporaji labda. Hivi kwa akili za kawaida corona inateleza zaidi usiku, au iko sawa na mchana?
 
Kenya inaidadi ya watu takriban milioni 47 Wala sio hamsini.

Kalb hayawan!
 
Back
Top Bottom