Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Hapo sasaKenya hata lockdown wanafanya usiku sijui nani kawaambai corona inaenezwa usiku tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kuna option mbili. Moja kuamini sayansi na mbili kuamini nguvu za giza ambao hata hujawahi kuziona.Wazee lockdown kwa nchi masikini haiwezekani
Nenda tu hakuna aliekushika miguu.Duniani kuna option mbili..... moja kuamini sayansi na mbili kuamini nguvu za giza ambao hata hujawahi kuziona.
Kwa hiyo unawashauri watanzania wanywe malimao na ile juice ya Madagascar pia wapige nyungu kweli kweli !!
I will go for science my friend.
itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336
Haya sasa wakimbia umande hao hapo! 50000/336=Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo Leo!
Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi nyingi maskini zisifanye kitu kinachowezekanika kuliko ngonjera zisizo na mantiki kwenye nchi masikini kama zetu?
Viongozi wa afya hawateeza kumwambia ukweli Uhuru watatoa vitisho hali hatari ili tu kuuaminisha umma kuwa hali ni mbaya na kuwaridhisha wafadhili ili waendelee kutoa pesa hii inamaanisha kuwa Kenya is never an independent state it is critical neocolonised state
Wanafananisha Corona na Maralia kumbe.Kenya hata lockdown wanafanya usiku sijui nani kawaambai corona inaenezwa usiku tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ame calculate vibaya lkn ni ukweli itachukua zaidi ya miaka 140 kuwapima wote, kumbuka watakuwa wanaongezeka.
Naona hajagundua kosa lake KIMAHESABU!