batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,346
Namba moja ni Mungu na ndo njia pekee Tz tumeamua kwenda nayo.Duniani kuna option mbili. Moja kuamini sayansi na mbili kuamini nguvu za giza ambao hata hujawahi kuziona.
Kwa hiyo unawashauri watanzania wanywe malimao na ile juice ya Madagascar pia wapige nyungu kweli kweli.
I will go for science my friend.
Ajabu sana!Sisi yametushinda ila tunathubutu kuwasimanga wenzetu waliojaribu
Mungu yupi!?Nenda tu hakuna aliekushika miguu
Watu wanamtegemea Mungu ,wewe unazungumzia habari za uchawi
Basis wewe endelea kuwasikiliza hao wazungu. Kwani sayansi inakubali uwepo wa MunguMungu yupi!?
Kupiga nyungu sio ushirikina!?
Kunywa kunywa madawa hayajathibitishwa sio ushirikina!!?
Usije ukawa ni mbunge? Naona hesabu siyo sifa yako. Siku 50000 siyo miaka 336. Fungua ukurasa mwingine fanya masahihisho.Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo Leo!
Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi nyingi maskini zisifanye kitu kinachowezekanika kuliko ngonjera zisizo na mantiki kwenye nchi masikini kama zetu?
Viongozi wa afya hawateeza kumwambia ukweli Uhuru watatoa vitisho hali hatari ili tu kuuaminisha umma kuwa hali ni mbaya na kuwaridhisha wafadhili ili waendelee kutoa pesa hii inamaanisha kuwa Kenya is never an independent state it is critical neocolonised state
Hivi kweli unadhani lockdown inasaidia? Ni wapi hapa duniani lockdown imefanikiwa?Sisi yametushinda ila tunathubutu kuwasimanga wenzetu waliojaribu
Hivi mbona watetezi wengi wakisikia kukosolewa mbinu zetu za kupambana na huu ugonjwa, hukimbilia kusema hao wakosoaji wanataka LOCKDOWN?Hivi kweli unadhani lockdown inasaidia? Ni wapi hapa duniani lockdown imefanikiwa?
Kenya wanafanikiwa na Partialy Lockdown kila tukiwaambia ninyi mnajirusha fahamu Kenya hakuna full Lockdown na imewasaidia kupunguza maabukizi.Hivi kweli unadhani lockdown inasaidia? Ni wapi hapa duniani lockdown imefanikiwa?
Ni kweli hayo?Kenya wanafanikiwa na Partialy Lockdown kila tukiwaambia ninyi mnajirusha fahamu Kenya hakuna full Lockdown na imewasaidia kupunguza maabukizi
Uko very right mkuu. Kenya inaongozwa na viongozi wenye drama kuna siku niliwah sema huku hiz drama za kenyata kupambana na covid 19 ni drama zake kwa mabwana zake ili wampe misaada ina maana kenya wameingia kwenye akili za kimalaya mpka apate bwana ndo ale chakula on which is very bad huwez kupambana na kitu ambacho ni invisible huwezi kupambana na virus hawa htari kwa kukaa tu bila kufanya kazi utakufa utaacha virus bado wapo na wataendelea kuathari jamii kubwa anachotakiwa kukifanya ni kujinga na kuchapa kaz tu sio kukaa ndan..nasikitika kusema pale kenya kuna wahuni wachache wanataka kuwalaz watu njaa ili wanufaike wao hii corona imekuwa fursa kwa wapiga dili wa kisiasa.Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo Leo!
Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi nyingi maskini zisifanye kitu kinachowezekanika kuliko ngonjera zisizo na mantiki kwenye nchi masikini kama zetu?
Viongozi wa afya hawateeza kumwambia ukweli Uhuru watatoa vitisho hali hatari ili tu kuuaminisha umma kuwa hali ni mbaya na kuwaridhisha wafadhili ili waendelee kutoa pesa hii inamaanisha kuwa Kenya is never an independent state it is critical neocolonised state
Mimi mwenyewe niliona propaganda zao zamani sana, wao wanajua eti wakenya wote wamejifungia na hawatoki nje. Sehemu mbili tu nchini ndio zipo under total lockdown, Eastleigh, Nairobi na Old Town, Mombasa. Usiku curfew ya kutoka nje ndio ipo nchi nzima kwa lengo la kuzuia wakenya ambao walikuwa wanatumia fursa hiyo gizani kukiuka maagizo yote ya wataalamu, ya kuzuia maambukizi ya Corona. Sio eti kwasababu kirusi kinasafiri usiku kama ambavyo hawa malofa wanaaminishwa na viongozi wao. [emoji1] Alafu kwenye gatuzi chache(ambazo zimekuwa na cases nyingi za Corona), nadhani ni 5 kati ya 47, ndio kuna 'restrictions' tu, sio marufuku, za kutoka na kuingia.Kenya wanapiga kazi kunzia asubuhi mpaka jioni kuanzia jioni na usiku ndio lockdown mkisikiliza hawa viongozi uchwara na propaganda uchwara za ccm ambazo hata aibu hawana
Kenya wakiona sehemu kuna maambukizi mengi ndio ndio wanaweka karantini watu hawawezi kutoka sehemu hiyo na kwenda sehemu nyingine za nchi.
Wanafanikiwa kuzuia uporaji labda. Hivi kwa akili za kawaida corona inateleza zaidi usiku, au iko sawa na mchana?Kenya wanafanikiwa na Partialy Lockdown kila tukiwaambia ninyi mnajirusha fahamu Kenya hakuna full Lockdown na imewasaidia kupunguza maabukizi
Soma post #35Wanafanikiwa kuzuia uporaji labda. Hivi kwa akili za kawaida corona inateleza zaidi usiku, au iko sawa na mchana?
Unamsikiliza huyo, tunamjua kabla yako.Soma post #35