Ya kwetu toka anafariki treni inaishia dodoma haijapiga hata hatua moja.Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya.
SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa.
SGR iliyojengwa Kenya ni ya hovyo na imejengwa kwa gharama kubwa kuliko uhalisia.
Tunaomba tuione sisi mainjinia wa JF tuhakikishe unachosema au ndio kwa msaada wa Google?Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya.
SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa.
SGR iliyojengwa Kenya ni ya hovyo na imejengwa kwa gharama kubwa kuliko uhalisia.
Toa sababu zilizoshiba sio unaropoka tu unasifia kwa jirani kisa kwenu jumba la udongo jirani kajenga ghorofa kazungusha fensi ya umeme basi kelele haziishi mwisho unakabidhi ubingwa na unaleft groupKenya wanatuzidi uchumi mbali sana.wakiamua kujenga sgr ni chapu tu.Siku nafika kenya niliona kabisa Tanzania ni takataka iliyooza na kunuka uvundo.
Hoja ni upigaji,kama wanapiga huko kwingine na hakuna hatua zozote zinachukuliwa na kwenye reli wanapiga.Jikite kwenye hoja
Ile SGR yao ni wakiweka umeme ina rud treni za umeme, acha ushambaKutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya.
SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa.
SGR iliyojengwa Kenya ni ya hovyo na imejengwa kwa gharama kubwa kuliko uhalisia.
Uchumi wa kenya ni mara mbili ya uchumi wa Tanzania.Tz iko hohehahe ndiyo maana imeshindwa kuimaliza sgr mwaka wa 11 sasa pamoja na kuuzwa kwa bandari zote kwa mwarabu ili kupata pesa.Toa sababu zilizoshiba sio unaropoka tu unasifia kwa jirani kisa kwenu jumba la udongo jirani kajenga ghorofa kazungusha fensi ya umeme basi kelele haziishi mwisho unakabidhi ubingwa na unaleft group
SGR wanayo tayari ila haitumii umeme.Kenya wanatuzidi uchumi mbali sana.wakiamua kujenga sgr ni chapu tu.Siku nafika kenya niliona kabisa Tanzania ni takataka iliyooza na kunuka uvundo.
Kwa nini nyie hamna Battery Electric Train (BEMU) ??Kwa nini?
Maelezo hayatoshi toa maelezo yaliyoshiba mboni unaungaunga maelezo?Uchumi wa kenya ni mara mbili ya uchumi wa Tanzania.Tz iko hohehahe ndiyo maana imeshindwa kuimaliza sgr mwaka wa 11 sasa pamoja na kuuzwa kwa bandari zote kwa mwarabu ili kupata pesa.