Kenya itawachukua miaka 50 kujenga reli ya umeme.

Kwani reli waliyoijenga na hii yetu ya sgr zinatofautiana? Au unadhani umeme unawekwa ndani ya mataruma!
Kwa reli waliyonayo wana mahitaji ni kuweka laini na injini za umeme, hata hivyo uchumi wetu uko nchi I na wa Kenya na wafanya huwa hawana muda wa kushindana na sisi ambao tulikuwa tukitumia pesa moja lakini wakatutupa kilomita ishirini.
 
ok.
 
Wameshindwa nini kuweka laini za umeme?
 
Serikali ya Kenya haina tofauti na serikali yoyote ya watu weusi wa Afrika,
hatuna la kuwasifia wala kuwapondea, tunajipa moyo kijinga il hali madudu yanayofanyika ni yale yale,,,
 
Kenya wanatuzidi uchumi mbali sana.wakiamua kujenga sgr ni chapu tu.Siku nafika kenya niliona kabisa Tanzania ni takataka iliyooza na kunuka uvundo.
Porojo..
Tofauti na nairobi taja majiji mengine yenye hadhi sawa na Arusha Mwanza na Dodoma
 
Serikali ya Kenya haina tofauti na serikali yoyote ya watu weusi wa Afrika,
hatuna la kuwasifia wala kuwapondea, tunajipa moyo kijinga il hali madudu yanayofanyika ni yale yale,,,
Sahihi mkuu.
 
Nikutoe tongotongo za nzi wa Chamwino
Kenyan GDP $135 to $147.3 billion
Tz GDP $88.9 to 96.0 billion.
Per capita GDP
Kenya $2468 to $2548
Tz $ 1184 to $1318
Kama ni ufisadi Kenya wenye rasilimali ndogo kuliko Tanzania basi ufisadi wao mzuri.
Tuje kwenye ufisadi kwenye ujenzi wa reli tafiti gharama za ujenzi wa reli wakati wa Magufuli na huu wa sasa wa Samia na wazori wake wa ujenzi alipokuwa TRC
PIA soma makala ya kiyungi hapa Jamii Forums ya tarehe 28 / 5/2025
 
Bado hujajibu hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…