Jumatatu ya tarehe 12 ndio siku ambayo shule zitafunguliwa ktk nchi ya Kenya bado wananchi waa taifa ilo wakiwa ktk wingu zito la ugonjwa wa corona.
Ikiwa shule zinafunguliwa leo bado shule nyingi zina hali mbayaaa sana zipo ambazo hazina maji tiririka kwa ajili ya watoto kunawa na zipo ambazo ata vyoo hamna, sasa rekodi itakayoandikishwa leo na wa Kenya zipo baadhi ya shule binafsi ambazo wa miliki wake wamekataa kuondoa biashara zao mbadala walizo kuwa wakifanya kipindi cha corona wakat shule zimefungwa.
Yupo mmiliki mmoja ndan ya shule yake baadhi ya madarasa kuna fugwa kuku eneo la michezo ya watoto ni shamba lake la sukuma wiki
Kuna nchi fulani nilikuwa naishi ubeberuni, waliniambia kuna vitu viwili naam vitatu ambavyo unapaswa kuogopa sana kuvibinafsisha.
Navyo ni; elimu, afya na ulinzi wa nchi.