Kenya itaweka rekodi ya kidunia Leo

Kenya itaweka rekodi ya kidunia Leo

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Jumatatu ya tarehe 12 ndio siku ambayo shule zitafunguliwa ktk nchi ya Kenya bado wananchi waa taifa ilo wakiwa ktk wingu zito la ugonjwa wa corona.

Ikiwa shule zinafunguliwa leo bado shule nyingi zina hali mbayaaa sana zipo ambazo hazina maji tiririka kwa ajili ya watoto kunawa na zipo ambazo ata vyoo hamna, sasa rekodi itakayoandikishwa leo na wa Kenya zipo baadhi ya shule binafsi ambazo wa miliki wake wamekataa kuondoa biashara zao mbadala walizo kuwa wakifanya kipindi cha corona wakat shule zimefungwa.

Yupo mmiliki mmoja ndan ya shule yake baadhi ya madarasa kuna fugwa kuku eneo la michezo ya watoto ni shamba lake la sukuma wiki
 
Duu, mambo ya ujasilia mali hayo.

Kuna nchi fulani nilikuwa naishi ubeberuni, waliniambia kuna vitu viwili naam vitatu ambavyo unapaswa kuogopa sana kuvibinafsisha.
Navyo ni; elimu, afya na ulinzi wa nchi.

Nafikiri sasa naanza kumuelewa.
 
Majilani Wana hali mbaya,kutubu hawataki acha ubeberu uwatafune
 
Back
Top Bottom