Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mainjinia wa Kenya 🇰🇪 kila siku majengo yanaporomoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunasheherekea akili zenu mbovu mbovu...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]nyuzi kama hizi ndio utapata wabongolala wakisherehekea. hata wale ambao walopotea mwezi mzima ukizani walitekwa na wingu la korona leo utawaona wakishangilia na kupiga gwaride ni kama wameshinda kombe la dunia.
Kenya wamezidi kwa majanga afu utasikia yule mk254 anasema sisi tunarusha chuma chakavu angani ....wakati raia wanataabika huku kwa groundMajanga ni sehemu ya dunia, mimi na familia yangu natoa pole kwa jirani zetu Wakenya kwa ajali hii iliyotokea.
Sasa jengo lenyewe liko under construction alafu zuzu hapo juu linasema ilikuwa na watu ndani! Alafu Tanzania ndio majumba hayaporomoki?Bora limeanguka kabla ya walala hoi wakenya hawajaanza kulala. Maana maafa yangekuwa makubwa.
Hakuna mahali watu hutaabika hapa EA kuliko TanzaniaKenya wamezidi kwa majanga afu utasikia yule mk254 anasema sisi tunarusha chuma chakavu angani ....wakati raia wanataabika huku kwa ground
Utadhani Dar slum magorofa yameja tele kumbe ni huu uchafuBlame your incompetent engineers,
Kuna yule Mkenya humu alisema huko Kenya mnaqualify kusoma Electrical Engineering bila ya kusoma physics. Now this is a reason
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother, what do you expect from a corrupt lawless society? Failed state,50% of all buildings in Nairobi are not fit for human habitation. They regularly collapse and cause serious fatalities.
Bad enough, such deadlier incidences go and pass without any legal or disciplinary action taken to responsible officials.
Halafu mnajiita the people who know their right, wakati mnaibiwa mpaka basi.
Sasa jengo lenyewe liko under construction alafu zuzu hapo juu linasema ilikuwa na watu ndani! Alafu Tanzania ndio majumba hayaporomoki?
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Does that change the fact that buildings collapse in Tanzania?Go to see the frequency of buildings that collapse between two countries.
Does that change the fact that buildings collapse in Tanzania?
Waache, wanajua EnglishMainjinia wa Kenya [emoji1139] kila siku majengo yanaporomoka
Kenya wamezidi kwa majanga afu utasikia yule mk254 anasema sisi tunarusha chuma chakavu angani ....wakati raia wanataabika huku kwa ground
Sasa jengo lenyewe liko under construction alafu zuzu hapo juu linasema ilikuwa na watu ndani! Alafu Tanzania ndio majumba hayaporomoki?
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Hakuna mahali watu hutaabika hapa EA kuliko Tanzania View attachment 1714376
Utadhani Dar slum magorofa yameja tele kumbe ni huu uchafu
View attachment 1714409
Take the bull by the horn!! kuonglea majengo ya Tanzania wakati taarifa ni za jengo liloanguka Kenya ni utoto na upumbavu uliovuka mipaka.Nini ya kubomoka hapa?
Wacha wenye manyumba yenye uwezo wa kubomoka wabomokewe. View attachment 1714571