Kenya -Jengo la Hospitali ya fufaa laporomoka

Kuja hapa wee MK254 Mkali wa ingilishi uje ueleze,
was it a uniform or deferential settlement that caused the building under construction to collapse!!?

I can figure it out what kind of fatality could happen, if just 1 tonne of equipments, people, etc. were in the building!!!

CC: NairobiWalker make sure contractor and consultant are suspended to work in the country for life.
 
nyuzi kama hizi ndio utapata wabongolala wakisherehekea. hata wale ambao walopotea mwezi mzima ukizani walitekwa na wingu la korona leo utawaona wakishangilia na kupiga gwaride ni kama wameshinda kombe la dunia.
Ndio tunasheherekea akili zenu mbovu mbovu...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Majanga ni sehemu ya dunia, mimi na familia yangu natoa pole kwa jirani zetu Wakenya kwa ajali hii iliyotokea.
Kenya wamezidi kwa majanga afu utasikia yule mk254 anasema sisi tunarusha chuma chakavu angani ....wakati raia wanataabika huku kwa ground
 
Bora limeanguka kabla ya walala hoi wakenya hawajaanza kulala. Maana maafa yangekuwa makubwa.
Sasa jengo lenyewe liko under construction alafu zuzu hapo juu linasema ilikuwa na watu ndani! Alafu Tanzania ndio majumba hayaporomoki?



 
Brother, what do you expect from a corrupt lawless society? Failed state,
Nchi gani hiyo uchaguzi 2022 ile tangu 2019 ni mwendo wa political rallies yaani sasa hivi ndio balaa, Kina Joshua, Kina Gideon Moi, kina Hustler , Rais nae ni mwendo wa Gatherings kwa kwenda mbele, Nani atakumbuka kusimamia ubora kwenye construction wakati kipaumbele cha kila mtu ni kushika dola..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Does that change the fact that buildings collapse in Tanzania?

TZ: From 2013 todate only two buildings collapsed.

KE: Only 2015, 15 buildings collapsed, and if this is not enough, inside every 6 months, at least one building collapse.

Content/Context analysis will help you to understand this.
 
wala msijushughulishe na mijitu ya kikenya, wamekula kiapo kutunza misifa ya kenyatta.. Nakumbuka story ya "expansion joint" kwa mabweni ya magufuli ilovyo vuma kenya natikisa kichwa.. Kumbe kwao wanaunganisha mawe kwa kutumia mate kama barua na stampu
 
Kenya wamezidi kwa majanga afu utasikia yule mk254 anasema sisi tunarusha chuma chakavu angani ....wakati raia wanataabika huku kwa ground
Wenzako cha Moro na Mbeya bado somo? Umaskini mbaya!
 
Hakuna mahali watu hutaabika hapa EA kuliko Tanzania View attachment 1714376
Utadhani Dar slum magorofa yameja tele kumbe ni huu uchafu
View attachment 1714409
Nini ya kubomoka hapa?

Wacha wenye manyumba yenye uwezo wa kubomoka wabomokewe. View attachment 1714571
Take the bull by the horn!! kuonglea majengo ya Tanzania wakati taarifa ni za jengo liloanguka Kenya ni utoto na upumbavu uliovuka mipaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…