Kenya: Kakamega County rising

That is kakamega for you...a small kenyan town but with nice standards...i was raised there since i was young until i moved to the bigger city
 
Heheeee[emoji1787][emoji1787]naona bonge la cbd
Hivi unajua kwamba Katavi Ina Nationala Park na hio ni moja ya mahotels sikutaka kujaza mapicha Just GOOGLE uone hotels za maana
 
Hivi unajua kwamba Katavi Ina Nationala Park na hio ni moja ya mahotels sikutaka kujaza mapicha Just GOOGLE uone hotels za maana
Kwn kwako mji ni mahoteli...hv akili zako zipo well kwel..

Yani ukiulizwa mji upo vipi, mara hoo kuna vyuo vingi, mwengine naye hku anasema mji una mahoteli mengi...

Basi km ni hvo...
Thika na diani zingelikua juu ya mombasa, manake thika kuna campus za kumwaga tu halafu ukienda diani utakuta hoteli nyingi tu za kifahari...

Akili zenu mnazijua wenyewe
 

Sasa Isiolo, Naivasha wanasema nini.... Nanyuki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…