Kenya kama mtaweza

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,138
Reaction score
1,514
Wafaransa wametengeneza treni inayotumia Hydrogen, na imeanza kufanya kazi Ujerumani, hii ni alternative nzuri zaidi mbadala ya Diesel..

Ingefaa zaidi viongozi wenu wangefikiria hii na kuweka hizi treni kwenye hiyo outdated SGR yenu. Halafu haziuzwi ghali, imagine unit 14 kwa 81 Million Euros tu.

Huku bongo labda itakuwepo kwenye lightrail ya Dar es Salaam ambayo imepangwa kutumia DMUs..

Treni za umeme mtuachie sisi..

 
Good idea but tenderpreneurs will be ready to exploit that!
 
Kwa sasa inabidi kujitoa kwenye orodha ya maskini wa kutupwa ndani ya LDC kabla kujisifia treni ya umeme, pia inabidi tuwaze kuhusu uwezo wetu wa ovyo hadi ajali inatokea kwenye ziwa cha kushangaza serikali pamoja na uwezo wake wote inafaulu kuokoa mtu mmoja tu lakini wavuvi na mitumbwi yao wanaokoa mamia ya watu, yaani kuna mengi yanadhihirisha tulivyo nyuma ambayo yanafaa kuwa kipau mbele kabla ya mbwembwe za treni ya umeme, ambapo hata umeme wenyewe raia hawana wa ukakika, kila siku mirindimo ya jenereta mjini......ooops nilidhani naongelea kuhusu Kenya.
 

Kwanza ujue hatuna hata haja ya kujiondoa kwenye LDC status hivi soon.. kuna faida nyingi kuwa LDC kuliko kuwa "a broke MIC", mikopo yetu ina riba nzuri, kuna grants za kutosha etc.. etc.. Ngoja kwanza tufanye miradi mikubwa ya barabara na umeme tukitumia window ya LDC kupata grants na mikopo ya masharti nafuu.

Mpaka leo pamoja na nyie majirani kuwa MIC (actually broke MIC), mmepata faida gani?... serikali imefilisika, mpo juu ya mawe, bado nchi yenu kuna njaa (ingawaje kulikuwa na mvua za kutosha msimu uliopita).. eti Middle Income Country inaomba msaada kwa mchina awajengee reli bure, yani hamuoni hata aibu.

acha TZ iendelee kuwa LDC for now.. we benefit more to be seen poor than boasting with nothing in the pockets.

Ishu ya umeme.. Imagine sasa hivi Tanzania imesambaza umeme almost 40% of rural population.. considering kwamba Tanzania kila mkoa unakalika na population ipo dispersed.. ingekuwa tumepewa chance ya kuwa kama Kenya leo hii tungekuwa 100% electrified.. Kenya area size ni almost half of TZ, population centres zipo close to each other, ni aibu kwenu mpaka leo mmeshindwa kupeleka umeme to 100% ya population. Kusambaza umeme vijijini Tanzania ni more expensive maana inakubidi kusambaza nguzo na nyaya hundreds of kilometres ambazo hamna mtu anakaa.. just imagine kusambaza umeme vijiji vya mkoa wa Rukwa na Kigoma peke yake ni almost cost ya kusambaza umeme 25% ya Kenya nzima.. so when it comes to electricity access.. eventually we are doing better than you guys, you only beat us in paper.

Kuhusu MV Nyerere please naomba usitoe comment yoyote maana hukuwepo wakati wa hiyo incidence na haitusaidii kwa lolote ku mock the authorities wakati nchi yetu ipo kwenye majonzi.. find another time.
 

Upupu wote huu ndio huwa mnajiliwaza miaka zaidi ya hamsini mnaliwa mumebaki mahandaki, mna kila sababu ya kuwa nchi bora kiuchumi Afrika lakini mnatajwa kwenye maskini kumi duniani wa kutupwa.

Halafu hilo la ajali sio mimi nabeza, ni wabunge wenu wanahoji nasoma wanachokisema wao, maana inauma sana kuona watu wanakufa wengi hivyo hatua chache kutoka kwenye fukwe ilhali mnakuja kujisifia sijui treni za umeme huku. Ni kitu ambacho najua hata Kenya sina uhakika kama tumejiandaa, inawezekana na sisi tumelala kama nyie kwenye hili la kujiandaa dhidi ya majanga kama hayo.
 

Hao wabunge nao wana mtindio wa ubongo kama wewe mkenya.
 
nchi top 20 maskini wa kutupwa duniani tena LDC mnaringa eti reli ya umeme..reli hata iwe inatumia kuni swali ni inabeba mizigo na abiria au la?...imefupisha muda wa kusafiri au la? impact kwenye uchumi ni positive au la? bas...ebu mjinasue toka nchi ldc mwanzo, pili mwache ushirikina wa kijinga na uvivu kisha mje tuzungumze kama wazee...
 

Hii ramani husikitisha sana, nyekundu hadi Madagascar...
 
Hii ramani husikitisha sana, nyekundu hadi Madagascar...
πŸ˜€πŸ˜€inasikitisha sana...yaani madagascar, somalia sudan kusini wote..kisha mtu anafungua uzi kutoa mawaidha duh! kazi bado ipo aisee
 
Unadhani hydrogen ni shillingi mbili? Tutatoa wapi hio hydrogen? Hio mambo ya hydrogen wachia wazungu
 
 

Teh teh teh tihiii
acha povu
ongelea mada iliyopo mezani, acha kuongea vitu kwa ujumla jumla.

Ahaaa haaa haaa
 

Nipe faida moja tu ya kuwa MLDC ambayo mkenya ameipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…