Kwanza ujue hatuna hata haja ya kujiondoa kwenye LDC status hivi soon.. kuna faida nyingi kuwa LDC kuliko kuwa "a broke MIC", mikopo yetu ina riba nzuri, kuna grants za kutosha etc.. etc.. Ngoja kwanza tufanye miradi mikubwa ya barabara na umeme tukitumia window ya LDC kupata grants na mikopo ya masharti nafuu.
Mpaka leo pamoja na nyie majirani kuwa MIC (actually broke MIC), mmepata faida gani?... serikali imefilisika, mpo juu ya mawe, bado nchi yenu kuna njaa (ingawaje kulikuwa na mvua za kutosha msimu uliopita).. eti Middle Income Country inaomba msaada kwa mchina awajengee reli bure, yani hamuoni hata aibu.
acha TZ iendelee kuwa LDC for now.. we benefit more to be seen poor than boasting with nothing in the pockets.
Ishu ya umeme.. Imagine sasa hivi Tanzania imesambaza umeme almost 40% of rural population.. considering kwamba Tanzania kila mkoa unakalika na population ipo dispersed.. ingekuwa tumepewa chance ya kuwa kama Kenya leo hii tungekuwa 100% electrified.. Kenya area size ni almost half of TZ, population centres zipo close to each other, ni aibu kwenu mpaka leo mmeshindwa kupeleka umeme to 100% ya population. Kusambaza umeme vijijini Tanzania ni more expensive maana inakubidi kusambaza nguzo na nyaya hundreds of kilometres ambazo hamna mtu anakaa.. just imagine kusambaza umeme vijiji vya mkoa wa Rukwa na Kigoma peke yake ni almost cost ya kusambaza umeme 25% ya Kenya nzima.. so when it comes to electricity access.. eventually we are doing better than you guys, you only beat us in paper.
Kuhusu MV Nyerere please naomba usitoe comment yoyote maana hukuwepo wakati wa hiyo incidence na haitusaidii kwa lolote ku mock the authorities wakati nchi yetu ipo kwenye majonzi.. find another time.