franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Mlienda kucopy almost kila kitu kwenye katiba ya South Africa (Bila kuangalia mazingira ya nchini kwenu) mpaka titles za viongoz (eg. Deputy President etc.)
2. Msururu wa viongozi (kaunti 47 na viongozi kibao *Gavanaz, D/Gavanaz, women representatives, senators na ma-MP wa.kutosha huku baadhi ua kauntiz zikiwa hoi kiuchumi hasa zile za Arid and Semi-Arid regions (ASAL)regions hivyo kusubir Msaada wa serikal kuu.
3. Uhuru uliopitiliza, wa kuhoji kila kitu mahakamani.
***ukabila utaendelea milele maana watawala wenu (KIkuyuz na Kalenjiniz) hawatakubali kuachia madaraka hata iweje