Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

Upinzani umekosea approach kulikuwa hamna haja ya Mara 2 kwa wiki,ilitakiwa wakiwashe non stop

Kupima maji kwanza yaweza kuwa muhimu mtu usijejikuta peke yako:

"Kwetu wapigania haki au uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho."
 
Majirani wana heka heka sana...

Jirani yao kasema kubishana Kwa hoja Kuna taabu gani? Msema kweli mwisho si atajulikana tunaungana naye?

Mudavadi anasema watu watachoka.

Yanini kutumia nguvu kupambana na sauti za watu?
 
Muhozi kasema atapeleka jeshi la Uganda kumtetea Uhuru!

Nduguyo mwenye kakupagawa amepashwa huku:

Screenshot_20230402-151538.jpg


Majibu yake ya ki Lumumba yanafuata:

Screenshot_20230402-151601.jpg


🤣🤣
 
Unawezaje kusema mwaka 2032 Raila atakuwa keshakufa. Hawo unaodhani wataendelea kuishi usishangae wakamwacha Raila.
Japokuwa yeyote anaweza kufa lakini inategemewa zaidi mwenye umri mkubwa kuliko mwenzake ndiye atangulie kufa.
 
Kesho ni jumatatu nyingine:

View attachment 2573711

Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa:

View attachment 2573699

Wenye busara wapo:

View attachment 2573717

Lakini siyo huyu bwana:

View attachment 2573712

Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho.

Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo.

Makundi matatu haya hayana mchango wowote kwa taifa hili.
Venezuela wameangamiza hii Kenya aki....
 
Kupima maji kwanza yaweza kuwa muhimu mtu usijejikuta peke yako:

"Kwetu wapigania haki au uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho."
Subiri moto wa kesho....
 
Back
Top Bottom