Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

Upinzani umekosea approach kulikuwa hamna haja ya Mara 2 kwa wiki,ilitakiwa wakiwashe non stop

Kupima maji kwanza yaweza kuwa muhimu mtu usijejikuta peke yako:

"Kwetu wapigania haki au uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho."
 
Majirani wana heka heka sana...

Jirani yao kasema kubishana Kwa hoja Kuna taabu gani? Msema kweli mwisho si atajulikana tunaungana naye?

Mudavadi anasema watu watachoka.

Yanini kutumia nguvu kupambana na sauti za watu?
 
Unawezaje kusema mwaka 2032 Raila atakuwa keshakufa. Hawo unaodhani wataendelea kuishi usishangae wakamwacha Raila.
Japokuwa yeyote anaweza kufa lakini inategemewa zaidi mwenye umri mkubwa kuliko mwenzake ndiye atangulie kufa.
 
Venezuela wameangamiza hii Kenya aki....
 
Kupima maji kwanza yaweza kuwa muhimu mtu usijejikuta peke yako:

"Kwetu wapigania haki au uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho."
Subiri moto wa kesho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…