Kenya kids survive on dog milk

Naona una utu pia. Hivyo sivyo nilivyokudhania hapo awali. Nakubaliana nawe, kusaidia wasiojiweza ni jukumu letu sote. Ni Kazi muhimu.
below poverty line kenya is 46%

below povert line tanzania 22%

ukitaka special official link nione
 
Ivi awa ndo wanaosema watanzania wanaenda kuombaomba kwao. ni za kweli hizi habari au ni wakenya wezao ili kutoa aibu wanawaita watz
wale ni wakenya wenzio wanawasingizia watanzania ili dunia ijue hvo kukwepa aibu maana waliingizwa kwenye MLDC kiujanja ujanja sasa wanaeza rudishwa LDC
 
The reality in Nairobi YoungD
katika siku umekamata makei ya wakenya kwa nguvu alaf ukayavuta kwenda chiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alaf baada ya hapo ukachukua zile two balls na kuzigonganisha
 
Acha porojo umekunywa Mziwa ya Mbwa?? Usiku sasa hivi umeshaweka maziwa tumboni??
 
iko kunywa maziwa ya mbwa wewe??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
au iko kunywa maziwa ya kunguni
 
mimi si deal na story za vijiweni! ukitaka tulinganishe maisha ya mkenya wa kawaida na mtanzania wa kawaida useme. ila uwaeleze mods kuwa wawache sindano ifanye kazi sio kurusha ukweli kuhusu tz mvunguni.

4.2 million urban dwellers in tz suffer from hunger, sijui kama umetia kitu ndani leo. ikubali hali yako usaidike.
 
uhahaha hukuipenda hioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wacha nikupe nyingine na hii usiipende sasaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Maisha ya mtanzania wa kawaida tukisema itatutoa machozi mengi. ....Wakina geza na wenzake sasa ivi wanaelekea kula chakula chao cha jioni kama kawa.. . Kwato za mbuzi ngombe etc na ndizi. .... .No wonder wanamezea maziwa ya umbwa mate
 
Ndio na wewe je umekunywa supu ya kongoro na firigisi kama kawaida kila siku toka januari tarehe 1?
sasa hvi munakula mpaka mizoga hehhee ila njaa sio kitu kizuri aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uhuru atawamaliza nyie
 
Maisha ya mtanzania wa kawaida tukisema itatutoa machozi mengi. ....Wakina geza na wenzake sasa ivi wanaelekea kula chakula chao cha jioni kama kawa.. . Kwato za mbuzi ngombe etc na ndizi. .... .No wonder wanamezea maziwa ya umbwa mate
sio ya kunywa maziwa ya mbwa na kula mizoga hatujafkia huko aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ni wakuonewa huruma hawa. yaani Dar es aslum mtu anataka kulinganisha na Nairobi. lazima ni wazimu huyu.
 
How are you our brothers and sisters from failed state, wazee wa njaa, mnategemea maziwa ya mbwa, ndiyo sababu mna roho mbaya kama mbwa.
Kenya ranked as 'failed state'
 
sio ya kunywa maziwa ya mbwa na kula mizoga hatujafkia huko aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
poa sana lakini unakubali umekamata kwato ya punda/ngombe au mbuzi na ndizi?? Kubali yaishe
 
poa sana lakini unakubali umekamata kwato ya punda/ngombe au mbuzi na ndizi?? Kubali yaishe
sijawah kusikia mtanzania anakula mizoga au maziwa ya mbwa heheh kwa hilo nimewapa salute mumefika level ya mwisho kabisa kwenye umaskiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…