Kenya: Kijana amuua baba yake na kumuweka chooni

Kenya: Kijana amuua baba yake na kumuweka chooni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Chanzo cha mauaji hakijasemwa.. Lakini kijana kamuua baba yake na kumtia kwenye sandarus na kwenda kumhifadhi chooni.

IMG-20211228-WA0505.jpg
IMG-20211228-WA0504.jpg
 
Hizi mambo zinashika kasi sababu ya malezi ya ajabu ajabu. Wakati ule mboko zilisaidia sana kunyoosha waliopinda, yaani hata kama baba umri umeenda kaka/dada/jirani walikua na uwezo wa kutembeza mboko za maana kwa mshenzi yoyote anaye mis'behave.

Mimi mdogo wangu wa mwisho yupo chuo na ninaishi nae hawezi ku'bringisha za ku'bring, akijichanganyaga tu habari yake huwa anaipata fresh!
 
Tunamuombea Rehema marehemu.lakini mbona inakua hivi shida ni nini? Wazazi ama vijana?
 
Inasikitisha sana,hapo usijekuta chanzo cha yote hapo ni tamaa ya mali tu kutoka kwa mzee,hapo kijana akiangalia channel ya maisha amekosea na anaona hii nyumba ama hii gari nikilipata basi ndio nitawin maisha
 
Back
Top Bottom