Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hyo akienda kupanga hawezi kuja kukuua?Malezi ya kukumbatia watoto kukaa nao nyumbani wakishafikisha umri wa kujitegemea
Dunia inapitia kipindi ambacho taarifa ni nyingi kuliko uwezo wa wapokeajiTunamuombea Rehema marehemu.lakini mbona inakua hivi shida ni nini? Wazazi ama vijana?
Atakuwa Ana damu ya kichaga Mana Hawa jamaa kwao pesa afu mengine baadaye.Inasikitisha sana,hapo usijekuta chanzo cha yote hapo ni tamaa ya mali tu kutoka kwa mzee,hapo kijana akiangalia channel ya maisha amekosea na anaona hii nyumba ama hii gari nikilipata basi ndio nitawin maisha
Dunia inapitia kipindi ambacho taarifa ni nyingi kuliko uwezo wa wapokeaji
Vijana wa siku hizi wana taarifa nyingi kuliko uwezo wao wa upembuzi
Hivyo wazazi wanapaswa kuwa makini na vijana wao kwa maana ni vi vikongwe wasio na uzoefu wa kimwili
Yule mzee aliosema vijana wa sikuhizi wamechanganyikiwa alikuwa sahihi😅!!!Vijana wamechafukwa
Nao wabadilike kuna wakati utafika kila kitu kitakuwa butuYule mzee aliosema vijana wa sikuhizi wamechanganyikiwa alikuwa sahihi[emoji28]!!!
Naomba zoezi lihamie kwa wazee wa chama cha mboga mboga maana ajira wameshindwa kutoa wanajua kuiba hela tu[emoji28]
Wazee walirithi mashamba kwa mababu zetu wao wanaturithisha madeni tu....Yule mzee aliosema vijana wa sikuhizi wamechanganyikiwa alikuwa sahihi😅!!!
Naomba zoezi lihamie kwa wazee wa chama cha mboga mboga maana ajira wameshindwa kutoa wanajua kuiba hela tu😅
Naona kamlipa yule chalii wa chugaWazee walirithi mashamba kwa mababu zetu wao wanaturithisha madeni tu....
Ila vijana wamekua ruthless aisee
Huwa unapata mchecheto Sana unapopata Jambo fulaniSina namna ya ku edit heading mpaka Moderator aje
Yule chalii wa Chuga fala sanaNaona kamlipa yule chalii wa chuga
Yule chalii wa chuga rumours has it inawezekana sio yeye ila ni framing moja kafanyiwa.Naona kamlipa yule chalii wa chuga
Duh ni msalaYule chalii wa chuga rumours has it inawezekana sio yeye ila ni framing moja kafanyiwa.
Usiwe unafikiri kwa makalio pusi wewe uwezekano wa mtu kukuua ni mkubwa kama mnaishi pamoja kuliko anayeishi mbali na wewe.kwa hyo akienda kupanga hawezi kuja kukuua?
AKILI za wapi hizi?
Kwa hyo ndo wamekwambia sababu ya kifo chake NI kukaa nyumba moja na mwanae?Usiwe unafikiri kwa makalio pusi wewe uwezekano wa mtu kukuua ni mkubwa kama mnaishi pamoja kuliko anayeishi mbali na wewe.
Kikulacho ki nguoni mwako,anaona kila unachokifanya moja kwa moja
We ni zuzu kweli unavyokalia wewe unafkiri wote ndivyo walivyo,jina lako lina uhalisia na akili yako huwezi kujiongeza kutoka vyanzo vingine vya habari umekalili jf tu.Kwa hyo ndo wamekwambia sababu ya kifo chake NI kukaa nyumba moja na mwanae?
acha kukalia utakuwa na AKILI
Mashuhuda wa tukio pamoja na muuajiView attachment 2060929View attachment 2060931