Kenya: Kijana amuua baba yake na kumuweka chooni

Kenya: Kijana amuua baba yake na kumuweka chooni

Tunamuombea Rehema marehemu.lakini mbona inakua hivi shida ni nini? Wazazi ama vijana?
Dunia inapitia kipindi ambacho taarifa ni nyingi kuliko uwezo wa wapokeaji

Vijana wa siku hizi wana taarifa nyingi kuliko uwezo wao wa upembuzi

Hivyo wazazi wanapaswa kuwa makini na vijana wao kwa maana ni vi vikongwe wasio na uzoefu wa kimwili
 
Inasikitisha sana,hapo usijekuta chanzo cha yote hapo ni tamaa ya mali tu kutoka kwa mzee,hapo kijana akiangalia channel ya maisha amekosea na anaona hii nyumba ama hii gari nikilipata basi ndio nitawin maisha
Atakuwa Ana damu ya kichaga Mana Hawa jamaa kwao pesa afu mengine baadaye.
Ni mpambanaji sana
 
Dunia inapitia kipindi ambacho taarifa ni nyingi kuliko uwezo wa wapokeaji

Vijana wa siku hizi wana taarifa nyingi kuliko uwezo wao wa upembuzi

Hivyo wazazi wanapaswa kuwa makini na vijana wao kwa maana ni vi vikongwe wasio na uzoefu wa kimwili

Vijana wa siku hizi wana taarifa nyingi kuliko uwezo wao wa upembuzi

Nakazia hili
 
Vijana wamechafukwa
Yule mzee aliosema vijana wa sikuhizi wamechanganyikiwa alikuwa sahihi😅!!!

Naomba zoezi lihamie kwa wazee wa chama cha mboga mboga maana ajira wameshindwa kutoa wanajua kuiba hela tu😅
 
Yule mzee aliosema vijana wa sikuhizi wamechanganyikiwa alikuwa sahihi[emoji28]!!!

Naomba zoezi lihamie kwa wazee wa chama cha mboga mboga maana ajira wameshindwa kutoa wanajua kuiba hela tu[emoji28]
Nao wabadilike kuna wakati utafika kila kitu kitakuwa butu

Ndipo kutakapokuwa kilio na kusaga meno, na si mbali sana
 
Yule mzee aliosema vijana wa sikuhizi wamechanganyikiwa alikuwa sahihi😅!!!

Naomba zoezi lihamie kwa wazee wa chama cha mboga mboga maana ajira wameshindwa kutoa wanajua kuiba hela tu😅
Wazee walirithi mashamba kwa mababu zetu wao wanaturithisha madeni tu....

Ila vijana wamekua ruthless aisee
 
kwa hyo akienda kupanga hawezi kuja kukuua?
AKILI za wapi hizi?
Usiwe unafikiri kwa makalio pusi wewe uwezekano wa mtu kukuua ni mkubwa kama mnaishi pamoja kuliko anayeishi mbali na wewe.

Kikulacho ki nguoni mwako,anaona kila unachokifanya moja kwa moja
 
Usiwe unafikiri kwa makalio pusi wewe uwezekano wa mtu kukuua ni mkubwa kama mnaishi pamoja kuliko anayeishi mbali na wewe.

Kikulacho ki nguoni mwako,anaona kila unachokifanya moja kwa moja
Kwa hyo ndo wamekwambia sababu ya kifo chake NI kukaa nyumba moja na mwanae?
acha kukalia utakuwa na AKILI
 
Kwa hyo ndo wamekwambia sababu ya kifo chake NI kukaa nyumba moja na mwanae?
acha kukalia utakuwa na AKILI
We ni zuzu kweli unavyokalia wewe unafkiri wote ndivyo walivyo,jina lako lina uhalisia na akili yako huwezi kujiongeza kutoka vyanzo vingine vya habari umekalili jf tu.

Sababu ya kifo unaijua wewe uliye mjinga
 
Back
Top Bottom