KENYA: Koffi Olomide ampiga mateke mnenguaji wa kike baada ya kutua jijini Nairobi

Mkuu linapokuja swala la haki hakuna mawazo au mlengo wako na wa mwingine. Kupiga wanawake ni kinyume cha haki na sheria sasa huwezi kutwambia eti ni mtazamo wako binafsi tukakielewa, hayo mawazo yako yamepitwa na wakati.

Sawa mkuu tusiufanye mjadala kuwa mrefu live in your world and I live in my world.

Ni sawa na mtu anaeshabikia ubaguzi halafu atuambie ni mtazamo wake tu, NO!

Ubaguzi na kupiga mwanamke ni vitu tofauti, and mark my words again 'inategemea na kosa'.

Acheni mawazo ya kikoloni.

Shukrani zikuendee kwako usiye na mawazo ya kikoloni.
 
Kawaida yake huyo. Wengine wawili aliwahi kuwabaka ila alishinda kesi.
 
Sawa mkuu tusiufanye mjadala kuwa mrefu live in your world and I live in my world.



Ubaguzi na kupiga mwanamke ni vitu tofauti, and mark my words again 'inategemea na kosa'.



Shukrani zikuendee kwako usiye na mawazo ya kikoloni.


Nimekupa mfano tu kwenye swala ubaguzi, hatuwezi kutofautiana kimtazamo kwenye hii kitu. Lazima tuwe na mawazo sawa, kwamba ubaguzi haufai.
Ni sawa na kupiga wakinamama, hatuwezi kuwa na mitazamo tofauti pia kwasababu ni swala la haki za kibinadamu. Kama unafikiri uko sahihi kupiga wanawake basi akili zako hazikutoshi and you belong in prison.
 
.....yani we jamaa ni bonge la kuzi.,hujijui tu!
...eti mwanaume aliekamilika hawezi kufanya nini......?


Ongea unataka kusema nini, usiandike sentensi nusu nusu. We utajisikiaje dingi yako akimchapa makofi mamaako?
 
Ongea unataka kusema nini, usiandike sentensi nusu nusu. We utajisikiaje dingi yako akimchapa makofi mamaako?
.....kawaida sana akizingua!...claim yako eti 'mwanaume alokamilika' HAWEZI kumpiga mwanamke HATA SIKU MOJA ni ya kiboya saaaaaana!
 
.....kawaida sana akizingua!...claim yako eti 'mwanaume alokamilika' HAWEZI kumpiga mwanamke HATA SIKU MOJA ni ya kiboya saaaaaana!


Watu wanaowapiga wanawake kama wewe ndio maboya. A gentleman knows how to deal with a lady. How can you protect a woman if you are physically and emitionally hurting her. Kama unafikiri babaako kumtia makofi mamaako ni sawa basi unahitaji therapy, na hayo ndio madhara ya kukulia kwenye vibanda vya gongo. Familia zimekosa good manners kabisa. SAD.
 
Olomide kwa sasa yupo chini ulinzi wa polisi akihojiwa kutokana kitendo chake za kipuuzi kumpiga mnenguaji wake hadharani
 
....teh hee hee hee...kumbe unaandika 'uharo' ili uonekane gentleman wa kishua?....
...ukiact kama punda utakuwa treated kama punda!.period!...haijalishi wewe ni lady ama b!tch!
...AKILI haina jinsi/jinsia!
....wanawake wanaenda jela seuze kula makofi!?
..acha ukuzi 'gentleman uchwara!'
 
Ukejua Chanzo ya yote hayo...Koffi yupo sahihi kabisa.
 


Wanakwenda jela kwa kufanya uhalifu, mnawapiga kwasababu they aren't strong enough to defend themselves. I'm a 'gentleman uchwara' but I will never lay my hands on a woman, it's so disrespectful! I'm glad the authorities are dealing with losers like you who think you have the rights to compare a woman with a punda. #SMDH
 
Inaonekana kofi aliambiwa kuwa ma dancer wako wanagombana kule, na unamuona kabisa kama anawatafuta na alipowaona walipo alienda kuamua kwa kumpiga teke mkorofi...
 
....teh hee hee...'uhalifu' ni label tu!.,ila kimsingi ni makosa! na jela ni adhabu kama ilivyo makofi;kutegemea na uzito wa kosa na 'mamlaka' husika!
...tena skia,mwanamke awaye yeyote akimtusi bimkubwa;SIULIZI wala hali makofi tu,
..NAKATA,NAFUNUA!!
...we 'gentleman sonso' wamwagie shombo la samaki waende liwa na mapaka mbele!
 



Ni hivi, mimi 'gentleman sonso' kama naona siko kwenye comfotable situation na mwanamke namuacha aende mbele, ni maamuzi sahihi kuliko wewe unaojua kupima uzito wa kosa sijui mamlaka husika. Huulizi eti unakata unafunua? Mwisho wa siku we ndio utaonekana Clown mbele ya jaji. Again, I will never lay my hands on a woman
 
....nahitimisha kwa kurudia nilichosema awali kabisa:
...wewe ni bonge moja la kuzi!..,hujijui tu!
..ALAMSIKI!
 
....nahitimisha kwa kurudia nilichosema awali kabisa:
...wewe ni bonge moja la kuzi!..,hujijui tu!
..ALAMSIKI!


Sasa wewe women beater ndo unajijua nini? BYE CLOWN!
 
Wanaume waliolelewa vibaya hawa kifumo dume ndo wana akili za unyanyasi wa kijinsia sasa kumpiga mwanamke si upumbavvu uzuri sikuhizi kuna sheria watanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…