Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Mkuu linapokuja swala la haki hakuna mawazo au mlengo wako na wa mwingine. Kupiga wanawake ni kinyume cha haki na sheria sasa huwezi kutwambia eti ni mtazamo wako binafsi tukakielewa, hayo mawazo yako yamepitwa na wakati.
Sawa mkuu tusiufanye mjadala kuwa mrefu live in your world and I live in my world.
Ni sawa na mtu anaeshabikia ubaguzi halafu atuambie ni mtazamo wake tu, NO!
Ubaguzi na kupiga mwanamke ni vitu tofauti, and mark my words again 'inategemea na kosa'.
Acheni mawazo ya kikoloni.
Shukrani zikuendee kwako usiye na mawazo ya kikoloni.