Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport. Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote. Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa #KenyansboycottKoffiOlomide
Angalia video hapa:
Inategemea na kosa kama ni kosa ambalo hata mimi ningempiga no problem at allSiku dadaako au binti yako wa kumzaa akitandikwa na mwanaume mwingine ndio you can be serious. Maana ndio atapata adabu
mbona hawasemi CHANZO ni nini....ni baada ya kumkasrisha mpenzi wake ndipo akamtwanga teke huyo kicheche...acheni unafiki...sasa nyie mlitaka amuuzi mpenzi wake halafu amuache bila kumshughulikia?
Mkuu inategemea na kosa ... hata polisi hutoa rai ukikaidi unapigwaJe wewe ukiwakosea watu wengine upigwe?
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport.
Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote.
Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa #KenyansboycottKoffiOlomide
Angalia video hapa:
Usimtazame mwanamke kwa ukatili,
Mwanamke anatakiwa kuonewa huruma,
Mi nikikukuta unampiga mwanamke hata kama ndo ulikuwa unamrudishia baada ya yeye kukubonda na kitu.... ntakumaindi wewe , nitamsaidia mwanamke.
Sawa mkuu huku Sitimbi wacha tuendelee kuwekana sawa ....Hakuna kosa linalokupa mamlaka kumpiga mtu yoyote. Haya mambo ya kupiga wanawake myafanye huko huko Sitimbi mbele ya watu wanaofuata sheria unakwenda jela.