Waganda msigande karibuni bandari salamaKutokana na tagaruki ya upotevu wa mizigo ya uganda, kamati ya uwekezaji ya bunge nchini Kenya PIC, imetoa maagizo kwa mkaguzi wa hesabu za serikali kufanya uchunguzi kuhusu upotevu wa mizigo ya Uganda kwenye bandari ya Mombasa.
View attachment 784240
View attachment 784241
KRA querried on ‘lost’ containers
Ila Mwanzi1 hilo halimsumbui. Anasumbuliwa tu na ya Kenya pekee.Kontena za Makonda naskia mumezikalia, japo naye kazikana.
Waachane na Mombasa waende wapi?Waganda wanataka mizigo yao kabla hawaja badilisga mawazo na kuachana na Mombasa. Tatuteni makasha yao haraka sana.
4000 containers with 40feets hehehe hawa watu ni wezi wakimataifa 😀😀😀😀😀😀Kutokana na tagaruki ya upotevu wa mizigo ya uganda, kamati ya uwekezaji ya bunge nchini Kenya PIC, imetoa maagizo kwa mkaguzi wa hesabu za serikali kufanya uchunguzi kuhusu upotevu wa mizigo ya Uganda kwenye bandari ya Mombasa.
View attachment 784240
View attachment 784241
KRA querried on ‘lost’ containers
Sasa mbona unasumbuliwa na hilo? Si hiyo yafaa iwe raha yako? Shida yenu wabongolala mnamix urafiki na biashara.😀😀😀Waende kule roho yao inapenda, Tanga na Dar
inamaana zimepita hazikulipiwa ushuru pia zimepita bila ya scan na kwa wahusika hazikufika😀😀😀😀😀Kuna hilo neno linasema "without trace" hata sijuwi wataanzia wapi kuzipata. [emoji23]
kuna urafiki kwenye wizi ???? 😀😀😀😀😀Sasa mbona unasumbuliwa na hilo? Si hiyo yafaa iwe raha yako? Shida yenu wabongolala mnamix urafiki na biashara.😀😀😀
Nakumbuka Magu alipogundua mchezo kama huu Dar walifanikiwa kujuwa upotevu wote na wahusika wakalipishawa pesa yote, tena ilikuwa mizigo ya ndani. Sasa hawa jamma hata kujuwa mizigo iko wapi na nani anahusika hawajuwi, tena mizigo sio yao. Wasubiri kulipa fidia kwa waganada maana hakuna namna nyingine.inamaana zimepita hazikulipiwa ushuru pia zimepita bila ya scan na kwa wahusika hazikufika😀😀😀😀😀